mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,401
- 23,193
Na wanawake wenye umri huo hawajaolewa wanakuwajeKuna utafiti unasema wanaume wengi waliofikisha 35+ bila kuoa huwa na gubu sana.
Na wanawake wenye umri huo hawajaolewa wanakuwajeKuna utafiti unasema wanaume wengi waliofikisha 35+ bila kuoa huwa na gubu sana.
Hata uongeze mitano bado sanaàa.Sio kiivyo mimi historia yangu ya shule ni ndefu sana maana kuna miaka miwili ilipita kavu bila kugusa shule
Siku ikifika atapata me nilitafuta Kwa miaka 20 nimekujapata nikiwa na miaka 40. Sikutaka kuzaa nje sababu sipendi kuchanganya kila mtoto na mama yake maana niliwaonea huruma kumzalisha MTU then nisimuoe,ila sina mtoto bado mke wangu mimba ilitunga nje ya kizazi akakatwa mrija wa kushoto ila ndo tunajaribu tena. Sikupenda nichelewe kuoa lkn nililazimishwa na mazingira ikiwa niliowapenda niwaoe hawakunitaka niwaoe.Kiimani kila jambo na wakati wake.Hivi ni kweli kuna mwanaume anakosa mwanamke wa kumuoa mpaka anakata tamaa ya kuwa na familia.?
Kuna Mwalimu wangu wa primary kwa sasa anakimbilia 40 lakini hana mke wala mtoto,ukipiga nae story mbili tatu lazima aingize habari ya kukosa mke..
huwa nakosa majibu ni kweli anakosa mke au ana tabia zinazomkosesha mke!?.
Wengi huwa huo umri ndio wanaanza kukua na kuwa wanaume, akipita hapo zaidi ndio anaanza kuwa jipu.Kuna utafiti unasema wanaume wengi waliofikisha 35+ bila kuoa huwa na gubu sana.
Mwanamke umri ukisonga na hekima inaongezeka.Na wanawake wenye umri huo hawajaolewa wanakuwaje
Anakuwa amekosa wa kumuoa.Na wanawake wenye umri huo hawajaolewa wanakuwaje
Hahaaa.Wengi huwa huo umri ndio wanaanza kukua na kuwa wanaume, akipita hapo zaidi ndio anaanza kuwa jipu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wao hawana gubuAnakuwa amekosa wa kumuoa.
Vibaya kumsema hivyo mwalimu wako kwa kuwa kama sasa ana miaka hiyo na kwamba amekufundisha na kwa kuwa siku siku hazigandi basi probably nawe unakaribia kuvuka taa nyekundu! Kubali bhana, niko nyuma yako mtegeshee tu ule pensheni!Kuna utafiti unasema wanaume wengi waliofikisha 35+ bila kuoa huwa na gubu sana.
Mmmh haya naona mnajimegea upande wenuMwanamke umri ukisonga na hekima inaongezeka.
Bora kuvuka tu hiyo taa nyekundu.Vibaya kumsema hivyo mwalimu wako kwa kuwa kama sasa ana miaka hiyo na kwamba amekufundisha na kwa kuwa siku siku hazigandi basi probably nawe unakaribia kuvuka taa nyekundu! Kubali bhana, niko nyuma yako mtegeshee tu ule pensheni!
Hahahaha.Mmmh haya naona mnajimegea upande wenu
Hapana, si huwa mnasema nyie ni wachache? Kwahiyo mwanamke kutokuolewa sio ajabu ila ni ajabu kwa mwanaume. Lazima awe na shida huyo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wao hawana gubu
Haswaaa.Mwanamke umri ukisonga na hekima inaongezeka.
Unamsubiri yule ajaye siyo? Good hata sisi wakristu tunamsubiri ajaye...Bora kuvuka tu hiyo taa nyekundu.
Ha ha haaa mi nilikuwa namuunga mkono tu huyo mwalim.ILa kuna wakati ukifika unatakiwa ujiulize kwanini unakosa...labda una tabia zilizoshindikana.
Siwezi..labda nikukutanishe nae umuulizemuulize ATM yake ina salio kiasi gan?
Hahaaa nasubil niliyepangiwa huyo sio wangu.Unamsubiri yule ajaye siyo? Good hata sisi wakristu tunamsubiri ajaye...