agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
- Thread starter
- #121
Sawa..Haya bhana turudi kwenye mada!
Jamaa inawezekana alitendwa,alimpenda sana binti akaona hakuna mwenye vigezo kama yake,mpaka leo akawa haoni tena anayempenda
Sawa..Haya bhana turudi kwenye mada!
Jamaa inawezekana alitendwa,alimpenda sana binti akaona hakuna mwenye vigezo kama yake,mpaka leo akawa haoni tena anayempenda
Why sio wa sayansi?Ila tafdhali batch mpya ikija unistue ya walimu hasa wa sanaa[emoji1]
We uliacha yule malkia wa nguvu akakupita basi tena!! Mkuu haajiri tena wa sanaa.Ila tafdhali batch mpya ikija unistue ya walimu hasa wa sanaa[emoji1]
HahahahaWe uliacha yule malkia wa nguvu akakupita basi tena!! Mkuu haajiri tena wa sanaa.
Super fine mtoto mzuriHow you doing meeeeen!!!
Nafurahi kusikiaa siwaoni siku hizi family imekubanaSuper fine mtoto mzuri
Mbona nipo aisee sema hutuonani tuNafurahi kusikiaa siwaoni siku hizi family imekubana
Haya sawa napenda uwepo wakoMbona nipo aisee sema hutuonani tu
Aisee kumbe ndoa ni ngumu sana.Bora aendelee kukaa tu hivyo hivyo hadi akili yake itakapokua sawa! Kuoa au kuolewa sio suala la mchezo!
Tupo pamoja mchuchu usijaliHaya sawa napenda uwepo wako
Labda ni mwalimu wake chuo kikuu huezi jua. However nadhani mleta mada bila shaka ni kabinti flani hivi...Kitendo cha mwalimu wako kuwa na miaka 40 ni kama mahesabu haya kai ujue
Kwa hiyo wewe miaka yako ni mingapi!!
[emoji15] [emoji15]
2006 nilikuwa LA saba wakati huo Mwalimu wangu alikuwa na miaka kati ya 24_26 ukipiga hesabu hapo kwa sasa atakuwa na miaka mingapi?Labda ni mwalimu wake chuo kikuu huezi jua. However nadhani mleta mada bila shaka ni kabinti flani hivi...
Mmmh.Tupo pamoja mchuchu usijali
Lakini wewe ni binti right?2006 nilikuwa LA saba wakati huo Mwalimu wangu alikuwa na miaka kati ya 24_26 ukipiga hesabu hapo kwa sasa atakuwa na miaka mingapi?
Mwisho wa kuitwa binti ni miaka mingapi...?Lakini wewe ni binti right?
18Mwisho wa kuitwa binti ni miaka mingapi...?
Basi mie sio bint
OK Dada, karibu kwa wakubwa wenzio.eBasi mie sio bint
Haha vip agata mbona umeguna?Mmmh.