Natamani kuoa ila nimekosa mke

Natamani kuoa ila nimekosa mke

Nilikuwa siamin pia...ila na mim naona....wanawake ni wengi sana....ila wake ni wachache sana...nataman nimpate ata kexo lakin wapii!!
 
Kwa kuwa wewe pia hujaolewa na ushahidi ni jinsi mlivyokuwa mnapiga soga za ndoa na mwalimu wako basi nakushauri uolewe naye maana kukuambia kakosa mke wenye mvi tunasema ni tongozo la kiutu uzima!
 
Back
Top Bottom