Natamani kuoa ila nimekosa mke

Natamani kuoa ila nimekosa mke

Hivi ni kweli kuna mwanaume anakosa mwanamke wa kumuoa mpaka anakata tamaa ya kuwa na familia?

Kuna mwalimu wangu wa primary kwa sasa anakimbilia 40 lakini hana mke wala mtoto, ukipiga nae story mbili tatu lazima aingize habari ya kukosa mke
huwa nakosa majibu ni kweli anakosa mke au ana tabia zinazomkosesha mke?
Ni kweli kabisa watu wanakosa mke. Kuna wanawake lakini mke ni wakutafuta kwa tochi. Hasa ikifika kipindi cha kuoa. Wengi wanaoa kwakua wamejikuta wanaoa kwa mazoea na hakuna namna. Labda wameisha mda mrefu hivyo anaona hana choice ingine.
 
Back
Top Bottom