agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
- Thread starter
- #101
Fanya uoe acha ubinafsiHata mm ninakaribia 40 lakini sijapata mke.
Fanya uoe acha ubinafsiHata mm ninakaribia 40 lakini sijapata mke.
Ila bora mwanaume ampende mwanamke ,kinyume chake hiyo ndoa huwa inazidi jehanamu.yeah, nimeona ndoa nyingi sana zimeegemea upendo wa sehemu moja, yani mtu anavumilia kukaa kwenye ndoa sio kwasababu ya upendo, ila ni kwamba hana choice/options, sasa afanyeje..hizo ndoa zilizojaa furaha na upendo tele from both sides, si bure ni Mungu tu, ameweka mkono wake hapo macho 4
Na kumpata anayekupenda ni kazi kubwa.Ubaya unaempenda ndie atakaeenda kukusumbua huko ndoani.
AiseeAgatha hebu kubali nikuoe maana inaonekana wanaume wamekuumiza sana!Njoo upate punziko la moyo usahau yaliyopita
Kubali basi ombi languAisee
So wanaume wanaodai wamekosa wanawake wa kuoa maana yake bado hawajapata wakumpenda?Mke/mme hachukuliwi bali anachaguliwa....
Hapa ndipo wengi huwa wanafeli wanachukua mtu ambaye hawajampenda ila basi tu kwa sababu anataka kuoa ama kuolewa hii makosa makubwa sana, na ndomana ndoa za siku hizi zinaingia madoa mapema kweupe sana...
My take:
Mke mpende wewe usioe kisa mama/baba au mzazi mlezi kampenda
Wewe umeshasema nimeumizwa sana na mapenz sasa huoni na wewe nitakuja kukuumiza.Kubali basi ombi langu
Kupona inahitaji mda,maumivu ya mapenzi hutibiwa kwa mapenzi na kusahau yote,kwahiho huniumizi tukianza itakuwa kama cancelling!Wewe umeshasema nimeumizwa sana na mapenz sasa huoni na wewe nitakuja kukuumiza.
Agata edward,So wanaume wanaodai wamekosa wanawake wa kuoa maana yake bado hawajapata wakumpenda?
Sio mimi ninayelia kukosa mke.Agatha naomba tuwe wachumba kama hutojali
Hapo nimechomekea, thread yako nimeisoma vizurSio mimi ninayelia kukosa mke.
Hapo kwenye tamaa napaelewa zaidi..sio rahisi ufikishe miaka 40 ukose angalau mwenye vigezo nusu ya unavyohitaji.Agata edward,
Kutokupata wakumpenda, Ilo pia linawezakuwa tatizo/changamoto pia kuchagua sana kuna wachelewesha kupata wenza wao hovyo kujikuta wanakaa muda murefu pasi na ndoa ama kupata mwenza
Mala nyingi watu namna hii wanatamaa sana za kimwili.
Nadhani ungerudia kusoma thread yangu usingebadirisha mada hapa.Kupona inahitaji mda,maumivu ya mapenzi hutibiwa kwa mapenzi na kusahau yote,kwahiho huniumizi tukianza itakuwa kama cancelling!
Why uende nje ya mada siku nikija kutafuta mchumba nitaanzisha thread ya hivyo.Hapo nimechomekea, thread yako nimeisoma vizur
Haya bhana turudi kwenye mada!Nadhani ungerudia kusoma thread yangu usingebadirisha mada hapa.
Ila tafdhali batch mpya ikija unistue ya walimu hasa wa sanaa[emoji1]Yo right.