agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
- Thread starter
- #181
Kabisaaaa.Hapana, si huwa mnasema nyie ni wachache? Kwahiyo mwanamke kutokuolewa sio ajabu ila ni ajabu kwa mwanaume. Lazima awe na shida huyo.
Kabisaaaa.Hapana, si huwa mnasema nyie ni wachache? Kwahiyo mwanamke kutokuolewa sio ajabu ila ni ajabu kwa mwanaume. Lazima awe na shida huyo.
Hahaha .Huyo anakutaka agata Mungu kamfunulia wewe ndio utakuwa mkewe
Bora umenisaidiahii stori ina ukweli sababu huyu mwanamke ana maka 25 umri wa juu kumaliza shule ya msingi ni miaka 14 so ni kama miaka 11 iliyopita tukiassume mwalimu kwa sasa ana miaka 39 basi hawa wawili walikutana pamoja mwalimu akiwa na miaka 28 huko sule ya msingi umbra ambao ni sahihi kabisa.
Jiongeze wewe umpe tunda25
Nina 25+
Yaan 2006 ulikuwa la saba!!!2006 nilikuwa LA saba wakati huo Mwalimu wangu alikuwa na miaka kati ya 24_26 ukipiga hesabu hapo kwa sasa atakuwa na miaka mingapi?
Mi mwenyewe nime mwmbia atakuwa mlengwa ndio yeyeHuyo anakutaka agata Mungu kamfunulia wewe ndio utakuwa mkewe
HahahahaHapana, si huwa mnasema nyie ni wachache? Kwahiyo mwanamke kutokuolewa sio ajabu ila ni ajabu kwa mwanaume. Lazima awe na shida huyo.
Leo mmekuwa wengi tena hahahsHahahaha
Kwa mujibu wa sensa hata hatuoishani sanaa
Ukiondoa na dactors zingine wanaume si wachache kiasi kubwa
MmmmhYaan 2006 ulikuwa la saba!!!
Mweeeh! Hapo mimi nilikuwa mchimbo ya bulyankhulu natafuta maisha tayari
HahahahLeo mmekuwa wengi tena hahahs
HahahhahahaMmmmh
Lakini si ni wachache?Hahahaha
Kwa mujibu wa sensa hata hatuoishani sanaa
Ukiondoa na dactors zingine wanaume si wachache kiasi kubwa
Hahahahaaa!! Hawaeleweki hawa, wamesahau wnavyotutishaga na huo uchache wao itafikiri walituumba!!!!Leo mmekuwa wengi tena hahahs
Na machimboni nakumbuka ulienda ukiwa na miaka sita. Wakati huo hata kuoga hujui.Yaan 2006 ulikuwa la saba!!!
Mweeeh! Hapo mimi nilikuwa mchimbo ya bulyankhulu natafuta maisha tayari