Natamani kufa

Natamani kufa

Status
Not open for further replies.
Hahahaaaa we nae... wivu utamwoneaje Shemeji yako... Dadiiiiii Excel dont leave me here... l am so lonly without dadiiiii...

hebu nimwite mwalim wangu miss neddy aje athibitishe kama kweli ww ni mtoto wa Excel kwasababu naona moyo unaenda mbio vbaya
 
Last edited by a moderator:
Mgirik
nini na my hubby ubavu wake nipo hapa

Mambo jirani?

We umeingia sasa hivi, kwa heri mimi naenda kuitafuta weekend..

Tutaonana pale pale tunaponanaga..
images
 
Jamani usife..

Njoo kwangu mimi mkaka mzuri ninapesa za kutosha ila sina wakutumia nae...

Dini yangu mkristo

Sina mpenzi kwa sasa.

Ila nilisha wahi kuzaa na binti mmoja hivi mtoto wetu ni huyo kwenye avatar, baada ya hapo akaolewa na jamaa mwingine.

Zipo sifa nyingi tu za ziada sitaweza kuzianika hapa zote, naogopa kusumbuliwa.

Pls! Pls! Pls! nakuomba sana usitamani kufa chaguo lako niko hapa achana na mtoto wa shekhe..
Shemeji msalimie mke wako, nna muda simuoni....
 
Ndani ya madira msiache kuvaa pensi make huu upepo he.....

Nauza na mapensi kabisa manake tight zitachanikaaaaa! Jamani wahudhuriaji nawakumbusha mkopo hamnaaaa, mje na hela cash!
 
Wakubwa heshima kwenu!

Kama mnakumbuka nilikuja hapa kuomba ushauri kuhusu kuolewa na mpenzi wangu ambaye ni muslim na mie ni mkristo!
Nimefikiria sana nimeona ni bora niachane nae sababu baba yangu amesema kama nikiikana imani yake nitakuwa nimemkana na yeye tatizo ni kwamba huyu mkaka jamani nampenda sana sana nafikiria nitaolewa na nani sababu kuna wanaume kama 10 wananitaka lakini wenye uwezo wa kifedha wote ni waume za watu,vijana wanaontaka unakuta wengine wanachuo n.k ntaishije bilaa mpenzi?nitadate na waume za watu?nitaipata wapi furaha nliyokuwa naipata?siwezi kudate na mtu mwenye maisha ya chini ni kosa kabisa kwa wazazi wangu wanataka mtu msomi tena mtu maarufu!!nafikiria hata kufa niachane na haya maisha
Ushauri tafadhali
Mbona uko kimyaa? Tayari ushakufa ninni?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom