Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Nna saluni ya kupaka make up, ntawapunguzia bei.
wanaume ntawapaka super black bure na kuwanyoa ndevu kwa magic tu.
Nna saluni ya kupaka make up, ntawapunguzia bei.
Everlyne Salt ana kisomo chake we umeumbiliwa unajikosha kwa uchovu wako bora UUFYATE nilikuwa na log in kwa ajili ya kukuumbua na multiple ID yako ,kama UKIACHWA ACHIKA UNAMNG'ANG'ANIA BABA YAKO MZAZI HUYO.Hahahahahahhahahahahaaha ntakupm picha yangu huyu eve nlisom nae anaishi kwa shangazi yake mbagala rangi 3 anajiuza kimboka sy typ yangu anapenda kujilinganisha na mie tell her to stay back wth me!
Majeneza, Maturubai yanapatikana kwangu
Msosi mke wangu atahudumia.
Mi navaa leggings bwana. Free size, manake hipsi na kalio ni hapa hadi kuleeee! Na kitopu cheupe plz.
machozi yananiwasha tayari. Marehemu keshakufa?
Everlyne Salt ana kisomo chake we umeumbiliwa unajikosha kwa uchovu wako bora UUFYATE nilikuwa na log in kwa ajili ya kukuumbua na multiple ID yako ,kama UKIACHWA ACHIKA UNAMNG'ANG'ANIA BABA YAKO MZAZI HUYO.
We msosi tupo sie tunapika na kupakuaa ulikuaa wapiii
Mi navaa leggings bwana. Free size, manake hipsi na kalio ni hapa hadi kuleeee! Na kitopu cheupe plz.
machozi yananiwasha tayari. Marehemu keshakufa?
hahahaha mtaniua jamani uuuuuuwiMi navaa leggings bwana. Free size, manake hipsi na kalio ni hapa hadi kuleeee! Na kitopu cheupe plz.
machozi yananiwasha tayari. Marehemu keshakufa?
Ngoja nikaangalie report ya daktari, ntakuja kukupa jibu.
Andaa sare za khanga, biashara hiyo.
Ngoja nikaangalie report ya daktari, ntakuja kukupa jibu.
Andaa sare za khanga, biashara hiyo.
amegail kufaaa
Nini kitatokea?
ngoja mtu aje na rungu akuzimishe wewe sasa
lol