Natamani kufa

Natamani kufa

Status
Not open for further replies.
Acha kutunzinguaa nani akupigie simu kichefu chefu kama wewe tutolee uchafu hapaa huyo bwanaako nipo nae hapaaa anasema we ni gogooo kitandan acha nimpe vituuu moto motoo

hahahahahahha uwiwiwiwiwiiw
 
mimi kesho sina kazi na natamani kuzunguka ,bagala sikujui nitapata mayai ya kienyeji uko????naomba unipeleke kwa kina evelyn kwan yeye mwenyewe anajua nampenda,nilipanga kumfata mwanza kumbe yupo hapo mbagala kwsho twende,au why usiweke namba kama picha uweki honey??maana si busara kumfata mtu bila taarifa au nakosea?

najipendekeza tu jamani naomba tuongozane lol!
 
mimi kesho sina kazi na natamani kuzunguka ,bagala sikujui nitapata mayai ya kienyeji uko????naomba unipeleke kwa kina evelyn kwan yeye mwenyewe anajua nampenda,nilipanga kumfata mwanza kumbe yupo hapo mbagala kwsho twende,au why usiweke namba kama picha uweki honey??maana si busara kumfata mtu bila taarifa au nakosea?

Hahahhahahaha eve ndo anakaa mbagala rangi 3 siyo mie jaman alafu ukimkosa huko huwa afua mashuka pale rombo green view hoteli
 
Hahhhhahhhhahhha jamaniii hafi mtu hapaa humuu

We hujaudhika kuliko mie!
Da' umukagame hebu fikiria vizuri bwana, usiongozwe na hasira wala roho ya visasi.......chukua maamuzi magumu pliiiiz, we jinyonge tu, Huyu jamaa yako ntahakikisha Eve hamchukui, nitamchukua mie.
Pliz fanya maamuzi magumu watu tuje kupiga umbea msibani, pliiiz my dada.
 
Last edited by a moderator:
kaka angu ndo maana mi sitakagi marafiki wa kike ni wanafki sana kitu kidogo hawashindwi kukuangamiza,my boy my friend thats all,mpenzi wangu ndo rafiki angu the rest nooooooooo,plus my family baasiiii

Anamjuaa wapii huyu kidampa kama vidampa wengine malaya kama malaya wenginee anaujua ushuzi wake anaouachiaa atupishee hapa hana lolotee umaskini wa mabwana unamsubuaaa hamjui evelyn wala nini anatafuta bwana humuu huyu hujamjua tu[/QUOTE]

sasa mwanaume makini akisoma huu mtiririko wa uzi hivi hata blood capillary moja inayoelekea pale itasimama kweli sembuse mahipa mkubwa unaopeleka damu pale wakatii wa kazi nzito,TWENDE MBELE TURUDI NYUMA MATUSI KWA MTOTO WA KIKE SI UUNGWANA JAMANI TUPEANE MICHAKATO YA KUTAFUTA PESA KAMA WANAUME WAFANYAVYO
 
Wakubwa heshima kwenu!

Kama mnakumbuka nilikuja hapa kuomba ushauri kuhusu kuolewa na mpenzi wangu ambaye ni muslim na mie ni mkristo!
Nimefikiria sana nimeona ni bora niachane nae sababu baba yangu amesema kama nikiikana imani yake nitakuwa nimemkana na yeye tatizo ni kwamba huyu mkaka jamani nampenda sana sana nafikiria nitaolewa na nani sababu kuna wanaume kama 10 wananitaka lakini wenye uwezo wa kifedha wote ni waume za watu,vijana wanaontaka unakuta wengine wanachuo n.k ntaishije bilaa mpenzi?nitadate na waume za watu?nitaipata wapi furaha nliyokuwa naipata?siwezi kudate na mtu mwenye maisha ya chini ni kosa kabisa kwa wazazi wangu wanataka mtu msomi tena mtu maarufu!!nafikiria hata kufa niachane na haya maisha
Ushauri tafadhali

Jamani usife..

Njoo kwangu mimi mkaka mzuri ninapesa za kutosha ila sina wakutumia nae...

Dini yangu mkristo

Sina mpenzi kwa sasa.

Ila nilisha wahi kuzaa na binti mmoja hivi mtoto wetu ni huyo kwenye avatar, baada ya hapo akaolewa na jamaa mwingine.

Zipo sifa nyingi tu za ziada sitaweza kuzianika hapa zote, naogopa kusumbuliwa.

Pls! Pls! Pls! nakuomba sana usitamani kufa chaguo lako niko hapa achana na mtoto wa shekhe..
 
Weeeeeee usitake kuniweka rohooo juu juu... najifanya kama sikuoni vileee...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom