Napata changamoto ya kumsahau Ex wangu, nifanyeje?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,174
Reaction score
17,635
Wakuu!

Naomba ushauri wenu kwa hili jambo linalonisumbua kwa miaka kadhaa.

Ni zaidi ya miaka miwili sasa toka niachane na ex wangu, lakini bado namkumbuka sana. Kuna nyakati napitia picha zetu, nasikiliza nyimbo tulizozipenda, au kuna wakati napita sehemu tulizowahi kwenda pamoja, najikuta naingia kwenye hisia na mawazo mazito.

Nimejaribu kuendelea na maisha nje ya ex wangu, nimekuwa busy na kazi, nimejipa muda, hata kujaribu mahusiano mapya lakini bado kuna pengo fulani. Si kwamba nataka turudiane, ila sijui kwa nini bado haijaondoka kichwani na moyoni.

Mliwezaje au kuna mbinu yoyote mlitumia hadi mkawa huru kweli?
Au kuna hatua za kiakili/kiroho mtu anatakiwa kuchukua?

Naomba ushauri wa maana, si utani. Mental health ni kitu halisi.

Asanteni sana.
 
Ahsanteni sana.

Jaribu hivi then utajua kama huwezi msahau, tafakari kabisa au Fanya namna usiwe na hela week nzima, chakula cha kuunga unga na kuomba, yenu kichwa kishughulikie mambo ya kupungukiwa pesa, uone kama utamkumbuka!

Pumbavu
 
Wakuu!

Naomba ushauri wenu kwa hili jambo linalonisumbua kwa miaka kadhaa.

Ni zaidi ya miaka miwili sasa toka niachane na ex wangu, lakini bado namkumbuka sana. Kuna nyakati napitia picha zetu, nasikiliza nyimbo tulizozipenda, au kuna wakati napita sehemu tulizowahi kwenda pamoja, najikuta naingia kwenye hisia na mawazo mazito.

Nimejaribu kuendelea na maisha nje ya ex wangu, nimekuwa busy na kazi, nimejipa muda, hata kujaribu mahusiano mapya lakini bado kuna pengo fulani. Si kwamba nataka turudiane, ila sijui kwa nini bado haijaondoka kichwani na moyoni.

Mliwezaje au kuna mbinu yoyote mlitumia hadi mkawa huru kweli?
Au kuna hatua za kiakili/kiroho mtu anatakiwa kuchukua?

Naomba ushauri wa maana, si utani. Mental health ni kitu halisi.

Ahsanteni sana.
Tafuta hela tu ...
 
Ulipigwa kibuti. Ukiachwa achika
 
HUJAPATA MWANAUME SAHIHI. TULIZA KIPAPIRO KWANZA HICHO. NA KISHA UWE BUSY SISI WANAUME HUWA TUNASAHAU MAPEMA TU. NYIE WANAWAKE HUWA SHIDA TENA KAMA ALIKUWA ANAKUFADHILI UNAMISS PESA ZAKE.

Aione Komeo Lachuma
 
Back
Top Bottom