Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,840
Picha tamuu hebu rusha yakoo haki ya mamaa nna kaka yangu hb halfcast anataka kuoaaa hebu rushaa picha yakooo
tehe tehe raha kwel
Picha tamuu hebu rusha yakoo haki ya mamaa nna kaka yangu hb halfcast anataka kuoaaa hebu rushaa picha yakooo
Na haya madeni niliyonayo haki a mama ntakula hizo hela
bora umpe masai dada
Mgiriki kaka angu umesemaje....
Umepata shost, unataka rangi gani?
si ndo hapo mi nimekomalia post kumbe hamna cha namba za simu wala cha nini sasa kifo nacho tena hamna aaaah
angalia usijekuwa mchepuko?! Ohooo!! Ww sema katoto kake
kuna post hapo juu nimesoma eti mbona hajib au ndo tayari ulizia basi afu nijulishe
kuna post hapo juu nimesoma eti mbona hajib au ndo tayari ulizia basi afu nijulishe
angalia usijekuwa mchepuko?! Ohooo!! Ww sema katoto kake
nmetengua kauli. ww nifikirie itakuwa vizr kama utaniweka kwenye kiota chako cha asili teh teh teh!
wivu sina ila roho inaniuma........ Kuchapiwa noumaa! Hahahaaaaa
Eeehh!!! Matipo ati weki.
mhhhh haiwezi kuwa hivyo bhana
hapooo sasa!! Napita mie naenda mkwajuni kumtafuta yahaya.Utaishi kutgongwa na vibabu
nmetengua kauli. ww nifikirie itakuwa vizr kama utaniweka kwenye kiota chako cha asili teh teh teh!
Usihofu shemeji... wapenda kunilinda hee? Siwezi mfanyia hivyo my future husband niliepewa na dadiiiii Window 7..
haya shaur yako. Sasa kama hajakutambulisha unafikir ni nn hapoooo?
Shemeji... wachepuka au sijaelewa?
mmmmh! Lakn si tulishasema mm ni ex shemeji? Na ni new owner sasa unakwepaje?? Mapinduz yanaruhusiwa ila yawe ya aman