nawe lol hebu potezea uko
Kulia nitalia mpenzi, tena ntalia hadi ntajikojoleaaaa.
Kama unabisha jinyonge.
Hahahaaa ngoja nikatafute bukta nirudi huku... labda uje kuntoa na breakdown..
Ndo maana sijawahi kuchukulia kitu serious hapa labda thread za birthday, kujifungua na kudanja tuuuuaisee!! Inasikitisha sana kuona baadhi ya watu wanaumiza kutoa ushauri kwa matatizo hewa.
Teh teh teh. Haya ni majibu ya papo kwa papo.Kwa Majibu Yako Haya Ya Jinsi Hii Afadhali Ufe Tuu!
Nakuelewa sana na ushauri wako niliufanyia kazi ndiyo maana nimefikia hapa nilipoumukagame naomba yakumbuke niliyokuambia siku ile. Nilikupa ushauri mzuri sana na nikakutolea mifano, hii dunia ni kama tunapokezana kijiti, wanakuja hawa wanaondoka tunakuja sisi tutaondoka na watakuja wengine na wao wataondoka. Hii ndio sifa ya dunia. Niko tayari kukusaidia tena
Karibu
hivi ile thread yetu kule celeb ya miss ushuzi mavi designer mods wameirestisha in peace?Hahhhahhhahhhahhhahhhahhahhhaaaaaaaaaaa mi nishandaaaa msarabaa hebu nipe jina lake la ukwelii niandike juu ya msalaba
Usinisingizie uongo asee urafiki tangu lini? Wala sikujuiiiiii
hahahaaa! Promo hzo! Watu wanatafuta
hivi ile thread yetu kule celeb ya miss ushuzi mavi designer mods wameirestisha in peace?
Wakubwa heshima kwenu!
Kama mnakumbuka nilikuja hapa kuomba ushauri kuhusu kuolewa na mpenzi wangu ambaye ni muslim na mie ni mkristo!
Nimefikiria sana nimeona ni bora niachane nae sababu baba yangu amesema kama nikiikana imani yake nitakuwa nimemkana na yeye tatizo ni kwamba huyu mkaka jamani nampenda sana sana nafikiria nitaolewa na nani sababu kuna wanaume kama 10 wananitaka lakini wenye uwezo wa kifedha wote ni waume za watu,vijana wanaontaka unakuta wengine wanachuo n.k ntaishije bilaa mpenzi?nitadate na waume za watu?nitaipata wapi furaha nliyokuwa naipata?siwezi kudate na mtu mwenye maisha ya chini ni kosa kabisa kwa wazazi wangu wanataka mtu msomi tena mtu maarufu!!nafikiria hata kufa niachane na haya maisha
Ushauri tafadhali
Usinisingizie uongo asee urafiki tangu lini? Wala sikujuiiiiii
Hahahahahahhajaja shotst jikatae ila ukiendeleza hicho kimdmo chako me nakuumbua hum hum alafu nikome nmalizia raha na bebe wangu alafu usinitibue ukinitibua hata sinyoachana nae tena yan sintomuachaaaaa cozd ar u ili uendelee kuchanganyikiwa
Weweuchangudoa wako ndiyo tatizo unafikiri kila mtu wa humu ni kama wewe hahahahahahaha usikriri maisha hv bado upo mbagala?
hahahaaa! Naona unapenda kuangalia ugomvi wa wenzako wakat wanatoana macho!! Tena mmoja katishia kuweka picha za mwenzie sijui itakuwaje
Haya uncle napotea
Mpaka Kutoana Ngeu