Kabisa , Maana ilikuwa kitambo kidogo 1998 au 1997.But mpaka sasa upo mashallah mungu akufanyie wepesi never lose hope always
Kukufuru ndio kufanyaje?Hivi ulishawahi kufikia hatua ya kumkufuru mungu akuchukue yaani ufe! Why ulifikia uamizi huo !
Iila watu Huwa wanapitia magumu Sana katika maisha. Ukiona hujawahi kupitia changamoto kubwa shukuru sana Mungu. Mtu Anapoima solution zote zimegoma akili inabadilika kabisaNatamani nikutukane.
Kukufuru ni kusema, kuandika au kufanya jambo linalochukuliwa kuwa la kumdharau, kumtukana au kumkosea heshima Mungu, dini, vitu vitakatifu au imani za kidini.Kukufuru ndio kufanyaje?
Ujue mtu huchukulia jambo fulani kirahisi kwa sababu halimgusi yy moja kwa mojaIila watu Huwa wanapitia magumu Sana katika maisha. Ukiona hujawahi kupitia changamoto kubwa shukuru sana Mungu. Mtu Anapoima solution zote zimegoma akili inabadilika kabisa
Amina.Moja ya njia ya hovyo mungu atuepushe
Acha fikra za ukifa utaenda somewhere.
Gumu gani wewe ulipitia ukiwa na myaka 8 hadi 9 au ulijifunza kunywa sumu kwenye movie ya misukosuko.!Iila watu Huwa wanapitia magumu Sana katika maisha. Ukiona hujawahi kupitia changamoto kubwa shukuru sana Mungu. Mtu Anapoima solution zote zimegoma akili inabadilika kabisa
Nowhere after sandhouse.Fikra zako zipoje hebu
Ndo inabidi uchapwe viboko Ili akili ikae Sawa, mana kinachokusumbua n Utoto na ujingaMihemko ya mapenzi si wote wanaweza kuhimili ujue