Hakika.Mental illness
Yes ni kweli kabisa mkuu..Omba upate watu sahihi wa kuwaambia matatizo if not watukupa pressure hatary
Ni stori ndefu, baba alifariki na maisha yaka-change Sana, kila siku ilikuwa ngumu sana.Sababu za kufanya hivyo nini
Hiyo ni ile hali ya mtu kutaka kujua thamani yake kutoka kwa wengine.Kuna binti wa 25 alikunya sumu ingawa hakufariki ,na kuna mwingine alikunywa cement coz ya mapenzi
nakuita inbox hutakNjoo nikushindilie kabla hujafa,maana usijeukafa na utamu ambao unapaswa utuachie
Unapitia nini mkuu? Tushirikishe unaweza kupata uafadhaliHivi ulishawahi kufikia hatua ya kumkufuru mungu akuchukue yaani ufe! Why ulifikia uamizi huo !
Natamani nikutukane.Sio nilifikiria kufa tu, nilikunywa sumu kabisa na sikufa. Kipindi hicho nina miaka kama 9 au 8