Natamani hata ningekufa leo !

Natamani hata ningekufa leo !

Kuna age mtu akifika hili wazo linamtawala kichwani, anaona kifo ndio suluhisho pekee la changamoto kwenye maisha yake.

Akumbuke hakuna changamoto isiyo na majibu hapa duniani, hiyo unayoiona mpya kwako, ujue yupo mwingine alishaipitia akaivuka salama.

Ongea na wakubwa zako, tafuta wawili au watatu zungumza nao kwa namna ya kuwadadisi mambo tofauti maishani, then chomekea hiyo changamoto yako uone utajibiwa nini.

Chagua kuishi ndio maana ulizaliwa, hukuzaliwa ili uje kutafuta kifo duniani. Wapo wanaokuona una thamani kwao, usiwaangushe.
 
Safi hatujaumbwa na kuzaliwa ili kuja kutafuta kifo Well said
 
Sio siku nyingi nimewai kuwaza nini faida ya maisha, nini faida ya haya mahangaiko yote? Sikuona faida, hatutosheki na ile kiu ya kutafuta kila siku ndio inatupa sababu ya kuendelea kuishi mpaka tunazeeka na kufa.. vipi kama ukipata kila kitu of course maisha yatakua yanaboa kama vile tungekua tinaishi milele pia yangekua yanaboa mana hakuna jipya.

Angalia system ya maisha ilivyo ya kipumbavu, tunaangaika kuijenga dunia na kuwa na watoto kujenga legacy ili tukiwa hatupo watukumbuke, lakini ukifa hatukumbuki hata vizazi viwili vya ukoo wetu vilivyotutangulia, hatuna family tree, hatujui asili yetu, aliyekufa miaka 10 na aliyekufa mwaka uliopita hawana tofauti wote wamesaulika.

Kama kungekua kuna nafasi ya kuchagua kuzaliwa ama kutokuzaliwa.
Nisingechagua kuwa hapa, nisingechakuwa kuishi.

Watu wanayatukuza maisha kama vile ni jambo jema sana.
Maisha yana faida gani?
Watu wanaumwa, wanakufa, wanakosa haki zao, wanabakwa, wanaibiwa, wanaumizwa, wakati kuna watu wanakula mpaka wanasaza, kuna watu wanalala njaa, wakati kuna watu ni mwezi wa tatu wako muhimbili wanasubiri foleni ya MRI na wengine wanakufa hata hawajapata vipimo na matibabu na kuna mwingine anakwenda kufanya check up London. Na wote tunaona ni sawa na ndio maisha ambayo tunayatafuta hayana usawa wala haki.
Tuishi tu
 
Hivi ulishawahi kufikia hatua ya kumkufuru mungu akuchukue yaani ufe! Why ulifikia uamizi huo !
Ndugu mdau,
huna haja ya kua na kiherehere kwenye masuala ya kufa.
Utakufa tu, tena kwa wakati muafaka uliopangiwa, hutacheleweshwa hata kwa sekunde moja na aliekuumba.

kama ambavyo hukuomba kuzaliwa, vile vile haustahili kuomba kufa.
Aliefanya uzaliwe ndie atakae amua ufe lini na kwa namna gani.

Plz relax, changamoto kwenye maisha ni kitu cha kawaida, lakini kwa imani yangu, kufikia hatua hiyo ni dhambi kubwa sana ya kutotimiza wajibu, hali ya kua una akili na nguvu za kufanya kazi.
Just calm down,
jipange upya and everything gonna be alright kwa Neema na Baraka za Mungu.

Luka. 1:37 "kwa maana hakuna lisilowezekana kwa Mungu"

🐒
 
Sio siku nyingi nimewai kuwaza nini faida ya maisha, nini faida ya haya mahangaiko yote? Sikuona faida, hatutosheki na ile kiu ya kutafuta kila siku ndio inatupa sababu ya kuendelea kuishi mpaka tunazeeka na kufa.. vipi kama ukipata kila kitu of course maisha yatakua yanaboa kama vile tungekua tinaishi milele pia yangekua yanaboa mana hakuna jipya.

Angalia system ya maisha ilivyo ya kipumbavu, tunaangaika kuijenga dunia na kuwa na watoto kujenga legacy ili tukiwa hatupo watukumbuke, lakini ukifa hatukumbuki hata vizazi viwili vya ukoo wetu vilivyotutangulia, hatuna family tree, hatujui asili yetu, aliyekufa miaka 10 na aliyekufa mwaka uliopita hawana tofauti wote wamesaulika.

Kama kungekua kuna nafasi ya kuchagua kuzaliwa ama kutokuzaliwa.
Nisingechagua kuwa hapa, nisingechakuwa kuishi.

Watu wanayatukuza maisha kama vile ni jambo jema sana.
Maisha yana faida gani?
Watu wanaumwa, wanakufa, wanakosa haki zao, wanabakwa, wanaibiwa, wanaumizwa, wakati kuna watu wanakula mpaka wanasaza, kuna watu wanalala njaa, wakati kuna watu ni mwezi wa tatu wako muhimbili wanasubiri foleni ya MRI na wengine wanakufa hata hawajapata vipimo na matibabu na kuna mwingine anakwenda kufanya check up London. Na wote tunaona ni sawa na ndio maisha ambayo tunayatafuta hayana usawa wala haki.
Tuishi tu
I second you,
 
Back
Top Bottom