Kupoteza tumaini na kukata tamaaHivi ulishawahi kufikia hatua ya kumkufuru mungu akuchukue yaani ufe! Why ulifikia uamizi huo !
Una hoji kwa nini mimi maisha bwana hebu fikiria mtu aliyezaliwa huku Sudan ni vita tu ,au congo huko muda wote kuna waka moto kuna muda tunatakiwa tushukuru mungu kwa kila jamboAlhamdulilah sijawahi kuwaza kufa! Maisha matamu jamani pamoja na heka hela zake!
Ingawa kulia hadi kumuhoji sir God kama yuko serious na mimi ni mara kibao tu 😃
Wenzio wanatamani wazaliwe leo wewe unatamani ufe leo kweli duniani wanadamu wanatofautiana mtazamo na akiliHivi ulishawahi kufikia hatua ya kumkufuru mungu akuchukue yaani ufe! Why ulifikia uamizi huo !
Soma title ya uzi wako, na usome hichi ulichoandika hapa..Never lose hope ,just wake up and keep moving 🙏