Natamani hata ningekufa leo !

Natamani hata ningekufa leo !

Kila mtu ana matatizo kwenye maisha mkuu
Ya kwako sio ya kwanza na hayatakuwa ya mwisho,yatapita

Usifikirie kufa wala
Kama utajiona unataka wa kukusikiliza usisite kunicheki

Pole
Shukrani ubarikiwe sana
 
Kila mtu ana matatizo kwenye maisha mkuu
Ya kwako sio ya kwanza na hayatakuwa ya mwisho,yatapita

Usifikirie kufa wala
Kama utajiona unataka wa kukusikiliza usisite kunicheki

Pole
Ikiwa n khs mapenzi, em mmwagie tindikali Huko pm mana itakuwa n matumizi mabaya ya kukuchek PM 😎
 
So tungepewa nafasi na mungu yaani uzaliwa au ubaki huko huko so kuna watu wasingetamani kuja duniani!
Hio nafasi ya muhimu ambayo tumenyimwa, nisingekua hapa leo.

Kuna watu hawakua na purpose ya kuishi wamekuja kufanya nini dunia.

Imagine mtu amezaliwa ana utindio wa ubongo ama chizi, amekuja kuishi ili iweje? What the purpose?
 
Kukufuru ni kusema, kuandika au kufanya jambo linalochukuliwa kuwa la kumdharau, kumtukana au kumkosea heshima Mungu, dini, vitu vitakatifu au imani za kidini.
Kwa mfano:
Kumtukana Mungu kwa makusudi.
Kukejeli au kudharau mambo matakatifu ya dini.
Kutoa maneno yanayoonekana kupinga au kukashifu imani za kidini kwa njia ya dharau.
Maana yake inaweza kutofautiana kidogo kulingana na dini au utamaduni husika, lakini kwa ujumla kukufuru huhusishwa na kudhalilisha au kukosea heshima mambo ya dini au Mungu.

Adhabu ya kumkufuru(kumtukana) Mungu ni ipi na inatolewa na nani?
 
Hio nafasi ya muhimu ambayo tumenyimwa, nisingekua hapa leo.

Kuna watu hawakua na purpose ya kuishi wamekuja kufanya nini dunia.

Imagine mtu amezaliwa ana utindio wa ubongo ama chizi, amekuja kuishi ili iweje? What the purpose?
Mwenyezi Mungu aliwaumba wanadamu ili wamwabudu na wamjue Yeye.
Qurani inasema:
“Nami sikuumba majini na watu ila waniabudu.” (Surat Adh-Dhariyat 51:56)
Ibada katika Uislamu si kuswali tu, bali ni kuishi kwa kufuata maamrisho ya Mwenyezi Mungu, kufanya mema, kuwa waadilifu, kusaidiana, na kuepuka maovu.
Pia Uislamu unafundisha kuwa maisha ya duniani ni mtihani. Baada ya kifo, kila mtu atahesabiwa kwa matendo yake na atalipwa kwa haki.
Kwa ufupi:
Kumwabudu Mwenyezi Mungu.
Kuwa khalifa (msimamizi) wa dunia kwa kufanya mema.
Kupimwa kwa matendo kabla ya maisha ya
 
Achana na mavitabu mkuu, dini zimekuja tu, tumia utashi wako kutafakari ninayokwambia, usiweke imani wala mihemko..
 
Back
Top Bottom