Kuchagua eneo hilo ni uoga. Kama ni mapenzi unafia unaweza ukaachana nayo tu. Kama ni pesa hukuzaliwa nazo. Sijui jinsia yako. Ila kama ni wa kiume,tukushasema kwenye vikao vya kiume. HATA KAMA HUNA HELA WEWE NI MWANAUME TU UTAPAMBANA HAKUNA WA KUKUFANYA CHOCHOTE WEWE NI MWANAUME TU. KAMA MWANAMKE ANAKUSUMBUA KSBB HUNA HELA ACHANA NAE IPO SIKU ATAKUTAFUTA ENDELEA KUPAMBANA. WANAUME NI MWIKO KUKATA TAMAAHivi ulishawahi kufikia hatua ya kumkufuru mungu akuchukue yaani ufe! Why ulifikia uamizi huo !
Nani alikwambia ukifa kunapakwenda ?Be strong ..
Hata ukifa leo huko uendeapo bado kuna maisha mengine.
Relax punguza hasira,Mungu atafanya njia.
Don't worry don't suicide.
Mwanaume mwenzetu ulisema anatabia ya kubaka mke wa ndoaWhich is which😃
Nafurahi kusikia jamaa hakusumbui tenaYale tumetatua tayari let move on 😃
Thats why Definition on MGAX is mixer of hip hop movement and combinatio n of plata o plomo.Shangwe kama shangwe tuishi
Say no to kiherehere cha kufa #nimekupataNdugu mdau,
huna haja ya kua na kiherehere kwenye masuala ya kufa.
Utakufa tu, tena kwa wakati muafaka uliopangiwa, hutacheleweshwa hata kwa sekunde moja na aliekuumba.
kama ambavyo hukuomba kuzaliwa, vile vile haustahili kuomba kufa.
Aliefanya uzaliwe ndie atakae amua ufe lini na kwa namna gani.
Plz relax, changamoto kwenye maisha ni kitu cha kawaida, lakini kwa imani yangu, kufikia hatua hiyo ni dhambi kubwa sana ya kutotimiza wajibu, hali ya kua una akili na nguvu za kufanya kazi.
Just calm down,
jipange upya and everything gonna be alright kwa Neema na Baraka za Mungu.
Luka. 1:37 "kwa maana hakuna lisilowezekana kwa Mungu"
🐒
Acha kupumbazwa.Vitabu vya dini katumia mkuu
👊Say no to kiherehere cha kufa #nimekupata
So tungepewa nafasi na mungu yaani uzaliwa au ubaki huko huko so kuna watu wasingetamani kuja duniani!Sio siku nyingi nimewai kuwaza nini faida ya maisha, nini faida ya haya mahangaiko yote? Sikuona faida, hatutosheki na ile kiu ya kutafuta kila siku ndio inatupa sababu ya kuendelea kuishi mpaka tunazeeka na kufa.. vipi kama ukipata kila kitu of course maisha yatakua yanaboa kama vile tungekua tinaishi milele pia yangekua yanaboa mana hakuna jipya.
Angalia system ya maisha ilivyo ya kipumbavu, tunaangaika kuijenga dunia na kuwa na watoto kujenga legacy ili tukiwa hatupo watukumbuke, lakini ukifa hatukumbuki hata vizazi viwili vya ukoo wetu vilivyotutangulia, hatuna family tree, hatujui asili yetu, aliyekufa miaka 10 na aliyekufa mwaka uliopita hawana tofauti wote wamesaulika.
Kama kungekua kuna nafasi ya kuchagua kuzaliwa ama kutokuzaliwa.
Nisingechagua kuwa hapa, nisingechakuwa kuishi.
Watu wanayatukuza maisha kama vile ni jambo jema sana.
Maisha yana faida gani?
Watu wanaumwa, wanakufa, wanakosa haki zao, wanabakwa, wanaibiwa, wanaumizwa, wakati kuna watu wanakula mpaka wanasaza, kuna watu wanalala njaa, wakati kuna watu ni mwezi wa tatu wako muhimbili wanasubiri foleni ya MRI na wengine wanakufa hata hawajapata vipimo na matibabu na kuna mwingine anakwenda kufanya check up London. Na wote tunaona ni sawa na ndio maisha ambayo tunayatafuta hayana usawa wala haki.
Tuishi tu
Pole mkuu yatapitaHivi ulishawahi kufikia hatua ya kumkufuru mungu akuchukue yaani ufe! Why ulifikia uamizi huo !