permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,478
- 15,290
Hao Wapemba waliojaa bara mtawarudisha vipi?hata leo wajitenge wafanye yao tufanye yetu
Hao Wapemba waliojaa bara mtawarudisha vipi?hata leo wajitenge wafanye yao tufanye yetu
Mara 3 watuachie wao waende. Hayo madeni tutayamaliza tu. Walichokichuma kutoka huku kinatosha.Ikiwa hivyo, Madeni aliyokopa kwa wingi kuneemesha Zanzibar yasibambikwe kwa Tanganyika, yagawanywe
Wanaeza kuendelea kuwepo Tanganyika kwa vibali vya uhamiaji, kama ambavyo kuna Wahindi, Wakenya, Wakongo, Wasomali, nk na hatuna muungano na nchi zaoHao Wapemba waliojaa bara mtawarudisha vipi?
Hapa ni mtanganyika anatawaliwa na mzanzibar, wa kupata uhuru wake ni Tanganyika.Turahisishe jambo hili kwa kufungua vifungo vya katiba yetu kandamizi. Hapa ndipo mnyororo na kufuli kuu lilipo.
Mengine yatafanyika tu taratibu kukamilisha ratiba. Najua kuna ugumu kwa baadhi ya vipengele. Ila tusiwe wapumbavu tunaoogopa kujaribu chochote chenye kutuletea maendeleo.
Nimemaliza.
Hatudanganyiki, mtaondoka na madeni yenu vinginevyo tuwageuze kwa shuruti kuwa wilaya au mkoa wa TanganyikaMara 3 watuachie wao waende. Hayo madeni tutayamaliza tu. Walichokichuma kutoka huku kinatosha.
Kagera waende wapi maana Uganda ni mavi uharo kama hapa
kagame si nasikia choka mbaya! nadhani wanatania na hii clipKagera na Uganda ni sehemu ya Bahima Empire, hivyo tutampa Kagame.
kagame si nasikia choka mbaya! nadhani wanatania na hii clip
Mungu akipenda Tanzania itakuwa nchi moja, Zanzibar itabaki kuwa mkoaTurahisishe jambo hili kwa kufungua vifungo vya katiba yetu kandamizi. Hapa ndipo mnyororo na kufuli kuu lilipo.
Mengine yatafanyika tu taratibu kukamilisha ratiba. Najua kuna ugumu kwa baadhi ya vipengele. Ila tusiwe wapumbavu tunaoogopa kujaribu chochote chenye kutuletea maendeleo.
Nimemaliza.
Pumba tupuTurahisishe jambo hili kwa kufungua vifungo vya katiba yetu kandamizi. Hapa ndipo mnyororo na kufuli kuu lilipo.
Mengine yatafanyika tu taratibu kukamilisha ratiba. Najua kuna ugumu kwa baadhi ya vipengele. Ila tusiwe wapumbavu tunaoogopa kujaribu chochote chenye kutuletea maendeleo.
Nimemaliza.
huogopi vurugu za madola ya kiislam?Kweli hata muda huu, waondoke wakaishi kwao kwa AMANI na UTULIVU!
Hatutawafuata wala nini, hata wakitaka wawe chini ya Oman au taifa la huko poa tu. Watajijuwa.
Wakwende kabisa kabisa kabisa!
Hahaha dah, nacheka kama mazuri!kagame si nasikia choka mbaya! nadhani wanatania na hii clip
Mkuu,Watanganyika tuna hofia tusije kujikuta tunapambana na Al shababu,Houthi nk
Muungano urekebishwe tu ila uendelee.