The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,441
- 12,211
Turahisishe jambo hili kwa kufungua vifungo vya katiba yetu kandamizi. Hapa ndipo mnyororo na kufuli kuu lilipo.
Mengine yatafanyika tu taratibu kukamilisha ratiba. Najua kuna ugumu kwa baadhi ya vipengele. Ila tusiwe wapumbavu tunaoogopa kujaribu chochote chenye kutuletea maendeleo.
Nimemaliza.