Mtoto ana A mpaka Bible Knowledge duh! Mambo ya bible tangu utotoni hayo.
Matokeo ya Immaculate. St. Marian Girls.
IMACULATE R MOSHA- S0248/0032-Female
DIVISION 1 POINTS 7
CIV-A HIST-A GEO-B B/KNOWL-A KISW-B ENGL-A PHY-A CHEM-A BIO-A B/MATH-A
Haya tena, damu ya kichaga-mambo ya bidii kwa sana, Baba profesa mambo ya Sayansi(kuna somo la sayansi hana A?), mama CPA-Mhasibu huyo(Maths A) hapa ukitazama hapo juu kwenye matokeo inabidi yakubali yenyewe.
Chekechea St Ann, Sekondari St Marian. Jamani 1 jumlisha na 1 ngapi?
Mtoto anaongea nyumbani Kichaga na
Kingeresa(English) na ndio hivyo tena akapata B ya kiswahili na A ya Kiingereza.
Milima ya morogoro imemchanganya ndio maana direction zinasumbua akapata B ya Geography.
Kumbe basi Mafanikio yanatokana na Mazingira na unavyoyatumia.
Mazingira(Including watu)+utumiaji mzuri wa Mazingira =Mafanikio