Natamani Angekuwa ni Binti Yangu

Natamani Angekuwa ni Binti Yangu

Siku wakichange kifkira lazima wataenda mbele,tatizo wanawake hawapendani wao kwa wao sijui ndo wivu.

Haswaa unajua kuna kitu flani kipo kwenye mioyo yao kiwivu cha kubomoa kwa vile flani waziri basi wanaanza kujenga hali flani ya kawivu flani anaendesha lori au bus basi wanajenga kawivu kamshusha thamani.
 
congratulation immaculate.lakini si mnajua yupo kwenye ukoo wa maprofesa!
 
congratulation immaculate.lakini si mnajua yupo kwenye ukoo wa maprofesa!

Unajua hata Mwisho Mwampamba baba yake ni professor! na baadhi ya maprof watoto wao ni vilaza wazuri tu.
 
Unajua hata Mwisho Mwampamba baba yake ni professor! na baadhi ya maprof watoto wao ni vilaza wazuri tu.

Masanilo, umenichekesha sana. hao sasa ndo wa kuweka makonzi, utakuwaje na baba prof wewe ukawa kilaza?
 
Masanilo, umenichekesha sana. hao sasa ndo wa kuweka makonzi, utakuwaje na baba prof wewe ukawa kilaza?

Hahahahaha usishau mama zao .....huwezi jua (heshima natanguliza)
 
Unajua hata Mwisho Mwampamba baba yake ni professor! na baadhi ya maprof watoto wao ni vilaza wazuri tu.

Duh umenikumbusha watoto wa wachungaji, makateksta ni wakorofi balaa hawapo kimaadili kabisa.
 
I love this comment...umenianzishia Jumatatu vizuri! Mimi kigezo ni GPA kama demu hana zaidi ya 4 na kwenda juu wala siwezi mdate, asije nipakazia mimba tukazaa kilaza. Mzenj wangu anafirst class teh teh teh eteh

Mkuu,

Una undugu na Dudubaya? Maana kwenye wimbo wake wa "nakupenda tu, hivyo ulivyo nakupenda tu" anasema mama yake anaogopa kuwa bibie atakuja amzalie nusu mtu nusu ...................

Sifahamu kama hii kitu ina ukweli ndani yake. Mbona huwa kuna familia ambazo yote majinga na mmoja tu ni moto wa kuotea mbali. Hii hata watu wa Genetics nafikiri bado inawapa shida. Kuna story nilisikia kuwa jamaa wazazi wake wote ni weupe na kijana kazaliwa kama Mulato. Kuchunguza ikaonekana kumbe sijui babu wa wapi alikuwa kachanganya.

Nitoe na mimi hongera kwa binti kwa kazi nzuri. Kuna mwaka 1989 bibie mmoja aliwatesa Watanzania kwenye mtihani wa form six. Baadaye alipokwenda University, alikuja akawa mtu wa kawaida. Sijui hii imekaaje. Wengine huwa zinaanza kuamka wakifika Chuoni. Ukifuatilia sana huyu binti, unaweza ukashangaa huko mbeleni akabadilika kabisa.

Tusubiri akimaliza form six ndiyo tutafahamu kama ni damu au ni nguvu ya soda. Bibie HONGERA SAANA na kaza kamba kwani ni mwanzo tu.
 
Mkuu,

Una undugu na Dudubaya? Maana kwenye wimbo wake wa "nakupenda tu, hivyo ulivyo nakupenda tu" anasema mama yake anaogopa kuwa bibie atakuja amzalie nusu mtu nusu ...................

Sifahamu kama hii kitu ina ukweli ndani yake. Mbona huwa kuna familia ambazo yote majinga na mmoja tu ni moto wa kuotea mbali. Hii hata watu wa Genetics nafikiri bado inawapa shida. Kuna story nilisikia kuwa jamaa wazazi wake wote ni weupe na kijana kazaliwa kama Mulato. Kuchunguza ikaonekana kumbe sijui babu wa wapi alikuwa kachanganya.

Dudu baya hapana ule wimbo wake hauna maadili unapenda tu hata kama ni zezeta?

Intelligence traits are heritable sasa kama wazazi wana recessive genes za usmart wengi watakuwa vilaza na watoto wachache ambao watakuwa na homozygous recessive genes watarithi ukali.
 
Umesema kweli Mama 5J's. Probability ya kuzaa mtoto kilaza inakuwa kubwa sana kama wazazi wote wakiwa vilaza au hata mmoja wao akiwa kilaza. Wanasemaga intelligence is inheritance na kuna ukweli mwangi sana ktk usemi huu. Mimi kigezo changu cha kwanza na muhimu kabisa ktk kuchagua mwanamke ni uwezo wake wa kiakili, uelewa wa mambo, na common sense. Bila hivyo wala sitakuwa interested naye. Sana sana nitakuwa mshikaji wake wa kupiga naye stori tu.

Kwa hiyo chagueni vizuri watu wa kuzaa nao. Sio mtu unaangalia sura tu na matiti na mawowo wakati kichwani ni below zero. No way!!

Huu uongo huu, hakuna kitu kama hicho kama mtu hujui cha kuchangia kaa kimya tu.....bora ukaye kimya watu wafikiri hujui kuliko kufungua mdomo na kuondoa ......

Like Father Like Daughter!

Vitu vingine ni vya ukoo jamani!

Uongo mwingine huu!!
icon5.gif
icon5.gif
icon5.gif
icon5.gif

Wandugu kufauku shuleni ni discipline tu basi. Na ndio maana shule zinazoongoza nchini ni za makanisa ya kikristo ambazo watoto wana discipline. Sababu nyingine ni ziada tu.
 
Mkuu Nguli kuna some proof

Regression towards the mean heritability of IQ

Any large enough group of IQ scores can be modeled using the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Gaussian_distribution"]Gaussian distribution[/ame], with a [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Statistical_mean"]mean[/ame] score of 100.

The heritability of IQ measures the extent to which the IQ of a child is measurably influenced by the IQ of its parents. As IQ is a quantifiable phenotype, one can estimate the expected IQ of child using the equation
42e6b6ff27b4943e2e8731c4b8b11217.png
, where

  • 7b5fdad25716879ce0706bf95efd82c0.png
    is the expected IQ of the child,
  • 84790e2b15a305120bc3fbeb4a4eeb4f.png
    is the mean IQ of the population to which the parents belong,
  • h2 is the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Heritability"]heritability[/ame] of IQ,
  • m and f are the IQs of the mother and father, respectively.[60]
The equation asserts that, on average, the IQ of a child tends to the mean IQ of the population. For instance, if the heritability of IQ is 50% and the mean IQ of a population is 100, then a couple with an average IQ of 120 will, on average, have a child with an IQ of 110. Similarly, a couple with an average IQ of 80 will, on average, have a child with an IQ of 90.

Source : [ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Heritability_of_IQ[/ame]
 
waungwana!!!!: mwana umleavyo ndivyo akuavyo alaa!!!
Kaza sketi yako Immaculata, ikiwezekana vaa "tight" za chuma na usimsahau muumba ati, huko uendako kuna njemba zina andaa text msg, usile cha mtu binti, ni nomaaa!! na usitumie muda mwingi kujiangalia kwenye kioo.
 
....'Mwana umleavyo ndivyo akuavyo'.....
Vaa skin tight ya chuma Immaculata, na usipende kutumia kioo kujiangalia.
Usile cha mtu ati!!!............
 
Mkuu Nguli kuna some proof

Regression towards the mean heritability of IQ

Any large enough group of IQ scores can be modeled using the Gaussian distribution, with a mean score of 100.

The heritability of IQ measures the extent to which the IQ of a child is measurably influenced by the IQ of its parents. As IQ is a quantifiable phenotype, one can estimate the expected IQ of child using the equation
42e6b6ff27b4943e2e8731c4b8b11217.png
, where

  • 7b5fdad25716879ce0706bf95efd82c0.png
    is the expected IQ of the child,
  • 84790e2b15a305120bc3fbeb4a4eeb4f.png
    is the mean IQ of the population to which the parents belong,
  • h2 is the heritability of IQ,
  • m and f are the IQs of the mother and father, respectively.[60]
The equation asserts that, on average, the IQ of a child tends to the mean IQ of the population. For instance, if the heritability of IQ is 50% and the mean IQ of a population is 100, then a couple with an average IQ of 120 will, on average, have a child with an IQ of 110. Similarly, a couple with an average IQ of 80 will, on average, have a child with an IQ of 90.

Source : http://en.wikipedia.org/wiki/Heritability_of_IQ

Hiyo X bar ni kivumbi, maana ndo imeshika nafasi kuliko hata mean IQ za parents. kwa hiyo inabidi kuchunguzana hadi akina babu na wajomba kabla ya kuoa; kaaazi kweli kweli
 
Hiyo X bar ni kivumbi, maana ndo imeshika nafasi kuliko hata mean IQ za parents. kwa hiyo inabidi kuchunguzana hadi akina babu na wajomba kabla ya kuoa; kaaazi kweli kweli

Yeah

Kuna sehemu niliandika ni muhimu kuowa/kuolewa na ukoo ambao walau kuna graduates......kuna koo zingine kuna Form Four Failure Mmoja tu. Wengine either ni school drop outs ama hata hawakuattempt shule. Usiangalie muonekano wa nje tu.......tiGo, rangi ama uhandsome boy
 
Hiyo X bar ni kivumbi, maana ndo imeshika nafasi kuliko hata mean IQ za parents. kwa hiyo inabidi kuchunguzana hadi akina babu na wajomba kabla ya kuoa; kaaazi kweli kweli

Hiyo niliyoweka kwenye red, ni ngumu sana wakati mwingine kuipata. Kwasababu wengine kwenye koo zao hakuna hata graduate hata mmoja maana wazazi wakati ule hawakwenda shule lakini wao ni vipanga wazuri tu, sasa hapo sijui inakuwaje. Lakini pia kuna suala la chakula. Inasemekana kula vyakula vya ngano sana, vichwa vya kuku na samaki hu-boost sana IQ ya mtoto.
 
Back
Top Bottom