Natamani Angekuwa ni Binti Yangu

Natamani Angekuwa ni Binti Yangu

Hahahaha lakini ukweli mpwa utabakia kuwa ukweli

Mpwa hakuna logic hapo.......Sitaki kutaja majina hapa, kuna dada alikuwa chuma ile mbaya pale Muhimbili miaka ile.....Dada alitesa sana mzuri kila sehemu, na mwisho wa mwaka MD course akawa overall best student. Wakaka na Waalimu uchwara hawakuweza mpata maana alikuwa na kila kitu. Kuna dada mwingine Mganda alisoma SUA alikuwa kama Miss Universe kila sehemu hadi Kichwani.....waliishia wakwale kula kwa macho maana hata assignments watu walikuwa wanakopi kwake.......Sura haina mahusiano na kichwani

Kumbuka kuna wadada wabaya kila sehemu.......sura, kichwani weupe na kibaya zaidi hata roho zao mbaya!
 
Baba Kipanga Mama Kipanga hata mazingira yatakuwa ya Ukipanga......

xactly...hiyo ni factor relevant sasa sio hizo za Fide za kufikirika!!! agrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!
 
Mpwa hakuna logic hapo.......Sitaki kutaja majina hapa, kuna dada alikuwa chuma ile mbaya pale Muhimbili miaka ile.....Dada alitesa sana mzuri kila sehemu, na mwisho wa mwaka MD course akawa overall best student. Wakaka na Waalimu uchwara hawakuweza mpata maana alikuwa na kila kitu. Kuna dada mwingine Mganda alisoma SUA alikuwa kama Miss Universe kila sehemu hadi Kichwani.....waliishia wakwale kula kwa macho maana hata assignments watu walikuwa wanakopi kwake.......Sura haina mahusiano na kichwani

Kumbuka kuna wadada wabaya kila sehemu.......

ahhhhhhhhhhhhhhh leo breakfast umekula nini tena Masa??? Good point
 
Yaani acheni utani, hawa jamaa kwao ni watu wanaopenda buku, mimi nilisoma na kaka yake, na mdogo wa huyo kaka yake nadhani anamalizia masters pale mlimani kama sikosei.

Elimu inahitaji utulivu, si sawa na kumuomba mungu awazuie TANESCO pale kwa Kakobe.
 
Hongera sana binti kwa jitihada zako ..
kaazi bado iko mbele yake god bless you
 
Beer na Mkate!

nilihisi hivyo!!!! imagine vile wazazi watemebea kifua mbele!!!!!!!! they have all the reasons to walk tall thou!!!!

Hehehehe duh hapa nimechemka si mnajua mm Shemasi

shemasi ndo ulitakiwa uyaone haya anayoyaona Masa.....jaribu kuamka na mkate na beer, it might do you better!!!
 
Huyu anastahili angalia hata shule anazosoma. angesoma kule aka mimi unakuta mwalimu wa biology unakuta hakuna term nzima.hongera binti .
warning:
usije ukaonja tunda mapema kama hujaonja bado.
 
lazma amefanana na babake... zamani angeitwa ripita
 
shemasi ndo ulitakiwa uyaone haya anayoyaona Masa.....jaribu kuamka na mkate na beer, it might do you better!!!

Shemasi hanywi beer anakunywa Wine.
Ujue shule za mashemasi hakuna mabinti hili mm nilikuwa silitambui
 
Mpwa Fidel unajua ni rahisi sana kumvua chu.pi binti kilaza kuliko kipanga? Maana binti Kipanga lazima uwe umejipanga vizuri, vilogic vya kijinga lazima uaibike....hahahahahahaha
 
Great Girl!! Keep it up for the coming years!! Always Remember becoming number one is easier than remaining number one!!!! Bravo young girl.
 
Mpwa Fidel unajua ni rahisi sana kumvua chu.pi binti kilaza kuliko kipanga? Maana binti Kipanga lazima uwe umejipanga vizuri, vilogic vya kijinga lazima uaibike....hahahahahahaha

Hahahaha mpwa hizi logic zipo sana kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Huyu anastahili angalia hata shule anazosoma. angesoma kule aka mimi unakuta mwalimu wa biology unakuta hakuna term nzima.hongera binti .
warning:
usije ukaonja tunda mapema kama hujaonja bado.

Mazee mpe sifa zake huyu binti.....kwenye hizo hizo shule alizosoma kuna wanafunzi wamebunda......sema labda ukimuweka kwenye ulinganifu wa kijumla....wengine wangeweza kufanya hivyo ila wako shule za kata
 
Nimefurahi sana kuona Mabinti siku hizi wako juuu! hakuna cha Seminary wala nini, chapeni kazi wanangu, yale tuliyokuwa tunayapigania Beijing ndo haya jamani; sio kuwabebesha wababa watoto huku wanaosha vyombo
 
Hongera sana binti Imaculate Mosha maana umeyafunga tela mpaka mababa ya Mzumbe, Kibaha, Illboru n.k hongera sana natambua sana ufaulu wako umetokana na juhudi na maarifa.
 
Ndicho nacho maanisha mabinti wazuri wanakumbana na misuko suko mingi ya mafataki huambulia kutaga tu

Kwa hiyo unasema kilichomsaidia Imaculate ni kwa sababu ana sura ya mbuzi? Wacha hizo wewe, mpe pongezi zake.... Hongera Imaculate, umefanya maajabu. Ur beautiful, intelligent and above all young. U have a decade ahead of you to live. May God guide you in every step you take.
 
Hongera sana binti Imaculate Mosha maana umeyafunga tela mpaka mababa ya Mzumbe, Kibaha, Illboru n.k hongera sana natambua sana ufaulu wako umetokana na juhudi na maarifa.

Mzee umeanza kuweka points, nimekugongea Thanks........nadhani unamchupa hapo wa Serengeti
 
Back
Top Bottom