Natamani Angekuwa ni Binti Yangu

Mpwa Fidel unajua ni rahisi sana kumvua chu.pi binti kilaza kuliko kipanga? Maana binti Kipanga lazima uwe umejipanga vizuri, vilogic vya kijinga lazima uaibike....hahahahahahaha

kwa kipanga inarahisisha kidogo na wewe ukiwa kipanga, maana mtaanzia kwenye discussion; akikukubali kuwa kitabu kinapanda basi hutatumia nguvu kumconvince
 
Mzee umeanza kuweka points, nimekugongea Thanks........nadhani unamchupa hapo wa Serengeti

Saizi nimeanza kupata fahamu maana jana ilikuwa balaa nilianza na Kesto nikahamia Safari nikajikita kwenye Valuer aliniletea Bwana harusi Geoff chumba 2 za Valuer akili mkichwa ilikuwa haifanyi kazi.
Tunako elekea sasa tutapata Rais mwanamke, siku hizi na akina mama wanaweza jamani, sio kila kitu mwanaume mpaka afanye.
 
kwa kipanga inarahisisha kidogo na wewe ukiwa kipanga, maana mtaanzia kwenye discussion; akikukubali kuwa kitabu kinapanda basi hutatumia nguvu kumconvince

Chukulia scenario mzee mzima ni kilaza! hahahahahaha
 
Saizi nimeanza kupata fahamu maana jana ilikuwa balaa nilianza na Kesto nikahamia Safari nikajikita kwenye Valuer aliniletea Bwana harusi Geoff chumba 2 za Valuer akili mkichwa ilikuwa haifanyi kazi.
Tunako elekea sasa tutapata Rais mwanamke, siku hizi na akina mama wanaweza jamani, sio kila kitu mwanaume mpaka afanye.

MH.... ulikua unachapa valeur mida ile?? umeweza kuwahi kazini?
 
Saizi nimeanza kupata fahamu maana jana ilikuwa balaa nilianza na Kesto nikahamia Safari nikajikita kwenye Valuer aliniletea Bwana harusi Geoff chumba 2 za Valuer akili mkichwa ilikuwa haifanyi kazi.
Tunako elekea sasa tutapata Rais mwanamke, siku hizi na akina mama wanaweza jamani, sio kila kitu mwanaume mpaka afanye.

Tena tunao wengi tu. subirini kidogo muone mambo yetu. na hii nchi itakuwa a better place to stay; yule nani aliyesema harudi TZ aanze kujipanga kurudi, maana tukianza kazi huwa tupo serious
 
ha ha haaaaaa, kama mzee mzima kilaza basi ujue mtaishia hi! maana hatakuwa na muda wa kukusikiliza.

Shida inakuwa shida zaidi Kilaza anapokuwa hajijui kama yeye ni Kilaza.....wanaboa sana jamaa wana dizaini hizo!
 
hongera sasa
lakini mbele pagumu kuliko ulikotoka!
yale unayoyaita anasa ndo yatakuja kwa pressure zaidi,
na uwezo wa kuzuia pressure hiyo unapungua kadri umri unavyokwenda.
 
Matesha wetu mimi na Xpin lazima awe wa kwanza nae kama Immaculate, mitihani yoote.Form4,Form6 hadi university.Na namuombea Mungu amlinde na mafataki.
Hongera Imma.
 
Tena tunao wengi tu. subirini kidogo muone mambo yetu. na hii nchi itakuwa a better place to stay; yule nani aliyesema harudi TZ aanze kujipanga kurudi, maana tukianza kazi huwa tupo serious

Mkuu mimi huwa nawashangaa wanawake huwa wanabezana wao kwa wao na hii inawafanya wasiwe na umoja laiti kama wakisimama kidete wanaweza sana.
 
Mkuu mimi huwa nawashangaa wanawake huwa wanabezana wao kwa wao na hii inawafanya wasiwe na umoja laiti kama wakisimama kidete wanaweza sana.

I am Missing Iron Lady Sophia Simba!
 
Mkuu mimi huwa nawashangaa wanawake huwa wanabezana wao kwa wao na hii inawafanya wasiwe na umoja laiti kama wakisimama kidete wanaweza sana.
Siku wakichange kifkira lazima wataenda mbele,tatizo wanawake hawapendani wao kwa wao sijui ndo wivu.
 
Hongera sana Imakulata,hahaha Genes jamani hamna kuolewa na kilaza wala kuoa kilaza.mimi mwanangu huwa anasema lazima awe injinia wa AIRBUS hahaha.

Umesema kweli Mama 5J's. Probability ya kuzaa mtoto kilaza inakuwa kubwa sana kama wazazi wote wakiwa vilaza au hata mmoja wao akiwa kilaza. Wanasemaga intelligence is inheritance na kuna ukweli mwangi sana ktk usemi huu. Mimi kigezo changu cha kwanza na muhimu kabisa ktk kuchagua mwanamke ni uwezo wake wa kiakili, uelewa wa mambo, na common sense. Bila hivyo wala sitakuwa interested naye. Sana sana nitakuwa mshikaji wake wa kupiga naye stori tu.

Kwa hiyo chagueni vizuri watu wa kuzaa nao. Sio mtu unaangalia sura tu na matiti na mawowo wakati kichwani ni below zero. No way!!
 
Binti Kinara 'form 4' afichua siri
attachment.php

NB
Nimefurahishwa sana na huyu binti, amesifia wazazi wake walivyomlea. Baba Prof na mama Mhasibu, nimejifunza kitu lazima wanandoa waangalie background ya mwenza wake ili matunda ya ndoa yawe yana neema. Hongera sana Immaculata nakutakia mafanikio na ndoto yako ya kuwa Engineer kama kaka yako ifanikiwe. Ubarikiwe sana

Mtoto ana A mpaka Bible Knowledge duh! Mambo ya bible tangu utotoni hayo.

Matokeo ya Immaculate. St. Marian Girls.

IMACULATE R MOSHA- S0248/0032-Female

DIVISION 1 POINTS 7

CIV-A HIST-A GEO-B B/KNOWL-A KISW-B ENGL-A PHY-A CHEM-A BIO-A B/MATH-A

Haya tena, damu ya kichaga-mambo ya bidii kwa sana, Baba profesa mambo ya Sayansi(kuna somo la sayansi hana A?), mama CPA-Mhasibu huyo(Maths A) hapa ukitazama hapo juu kwenye matokeo inabidi yakubali yenyewe.

Chekechea St Ann, Sekondari St Marian. Jamani 1 jumlisha na 1 ngapi?

Mtoto anaongea nyumbani Kichaga na Kingeresa(English) na ndio hivyo tena akapata B ya kiswahili na A ya Kiingereza.

Milima ya morogoro imemchanganya ndio maana direction zinasumbua akapata B ya Geography.

Kumbe basi Mafanikio yanatokana na Mazingira na unavyoyatumia.

Mazingira(Including watu)+utumiaji mzuri wa Mazingira =Mafanikio
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom