Natamani Angekuwa ni Binti Yangu

Natamani Angekuwa ni Binti Yangu

am very well thanks!! u know my GPA???😉 Poor womenfolk.....those who cross your path!

hahaaaaaaa Shishi umenichekesha!!! Its been long....hujambo weye?
 
hahaaaaaaa Shishi umenichekesha!!! Its been long....hujambo weye?

Nipo darling...kazi tu nyingi. kujenga taifa wengine wanabomoa nkt!!! vipi wewe hujambo na uwapendao nao??
 
shostito upo


Nipo shostito!....hw are you?...mana huku kwetu kuna li-snow linaanguka we are about to get 12 inches.....naona hiyo afadhali huko east cost ni wako taabani....So far all is well shosti!
 
Kwa hiyo unasema kilichomsaidia Imaculate ni kwa sababu ana sura ya mbuzi? Wacha hizo wewe, mpe pongezi zake.... Hongera Imaculate, umefanya maajabu. Ur beautiful, intelligent and above all young. U have a decade ahead of you to live. May God guide you in every step you take.

Ndugu leo nimekusaport na thanks nimekupa....lol. Huyu fidel sijui Fidel castro anakipaka sasa. Unajua unaweza kuwa na mtazamo au maoni fulani lkn kabla hujaandika ni vizuri kuangalia impact yake.. Issue ni kufanya vizuri kwenye exam sasa sura ya mbuzi imetoka wapi?.

Ukubwa si umri tu kaka speech zako pia zinatakiwa kuendana na umri wako..Au ndio unataka kuchekesha? Hatucheki kwenye issue kama hizi unless otherwise tungekuwa tunazungumzia uzuri wa sura..


Uoni kwamba binti akisoma comment yako (i mean fidel80) ata huzunika wakati alitakiwa kufurahi?. Wewe sura yako nzuri? au ndio mambo ya nyani....?

JIHESHIMU NA UKUE....MIAKA ULIYONAYO NI MINGI TU.
 
Nipo darling...kazi tu nyingi. kujenga taifa wengine wanabomoa nkt!!! vipi wewe hujambo na uwapendao nao??

Poa kabisa la Aziz! Huonekani siku hizi kama mkojo wa jogooo hahahahahaha
 
Back
Top Bottom