Nataka single movie ya kunitoa machozi

The Champ...hii movie imeweka history ya kuliza watu Hadi scientists wakaitumia kufanya research ya watu kulia wanapotazama movie....

Halafu kuna movie ya history ya Gianis Antontounkopu Basketball baller wa NBA...zitafute
 
Yaani nikiwa naitazama ifike hatua mpaka nitoe machozi ni movie gani inaweza nitoa machozi.
Queen & Slim

images (3).jpeg
 
Bro nilibishana sana na workmates kuwa hakuna movie itakayobeba hisia zangu mpaka nilie, lakini hii movie ilinitoa machozi. Sijawahi ona upendo kama ule wa mbwa kwa mtunzi wake.
Naskia sanamu ya yule mbwa ipo mpaka leo pale railway station.
Yeah, mbwa alikaa pale stesheni miaka sijui 9 ile akimsubiri boss wake
 
Back
Top Bottom