Nataka single movie ya kunitoa machozi

Kwa bongo movie kuna movie wema na kanumba wameigiza kanumba akiwa malaya coz wema alikuwa hazai, jamaa alikuwa anampiga balaaa mwisho wasiku kanumba akabambikiwa mtoto na dem wa nje baadae akagundua yeye ndo hana uzazi ila huku wema mjamzito ss badala yake ukazuka ugimvi mpya wa mimba ya nani ila mwisho mimba ilikuwa ya kanumba
 
Inaitwa RED VALENTINE
 
Icheki movie inaitwa ADU, Mimi sio mpenzi wa movie za kuhuzunisha Ila hii ilibidi niicheki inawahusu watoto wawili ambao waliamua kutoroka kwao baada ya kuvamiwa na majambazi ( Hapa chanzo ilikua waliwaona majangili wakiua tembo Sasa madogo walikua na baiskeli katika kukimbia ikabidi waache baiskeli hapo ndio walipokosea)mama yao katika kuwatetea akapigwa risasi, madogo hawakuwa na namna ikabidi wasepe. mkubwa wa kike mdogo ni wa kiume.

Movie ina matukio mengi ya kuhuzunisha. Scene iliyonihuzunisha zaidi Ni pale dada wa Adu alipo kubali kupigwa na baridi ilimradi mdogo wake apate joto, dogo anakuja kushtuka dadaake ameshakufa, afu ukicheki walizamia kwenye ndege hapo daaah!! 😔😔

Mimi sio muandishi mzuri Ila unaweza kuicheki mwenyewe uitazame ndugu.
 
Kuna movie ya Suniel Shetty inaitwa Dhadkan. Jaribu hii movie ila ili ulie unatakiwa uwe na concentration na ukimya wa kutosha. .

A uangalie nyimbo za kumuomboleza Magufuli na movie ya msiba wake utalia sana unaweza lia mpaka ukakauka maji mwilini. .
Hapo mwisho umeua
 
Hata kuch kuch Hotae inaweza kumtoa machozi. Hiyo nayo iko vizuri.
Pia kuna mdau kasema kuhusu miracle in the cell no. 9
Govinda YaYa.
Andhar Kanoon
We are family Sharukhan
Sometimes in April
 
Cheki lone survivor, ni muvi ya marekani ambapo timu ya makomando wa marekani wanaenda kwenye mission taleban Afghanistan kumkamata kiuongozi wa taleban, kufika huko wote Wanauliwa na Kubak askari mmoja ambae sio alijiokoa Bali aliokolewa na wanakijiji na hicho kijiji kiliteswa mno viongoz na watu wake ili wamtoe Ila hawakumtoa Hadi kilipo Tumwa kukodi kingine tena kikubwa zaidi kije kimuokoe Huyo mjeda. Humo unaweza kulia zaidi ya Mara 3.
 
Back
Top Bottom