said saeed
Member
- Dec 8, 2016
- 9
- 3
Mwoga kama nini?

Mwoga kama nini?

Machale yamenicheza, huenda wale wanaotafuta taarifa zao na mimi nimo, kwa hiyo natokomea kwenye misitu ya Cambodia.can't tell exactly where on earth Ben Saanane is.
huko kungine sikujibu nakujibu Hapa...
huyo mama wala hakuleta jf sio kweli aliandik instagram kuna mtu alileta huku tena kwa kuuliza mbona yule Dada anashutuma sana vtu asivyo na uhakika Nazo
hapo unamsingizia max
Mimi imani yangu inanituma kuna maisha baada ya kufa na kuna hukumu pia kwa kila utakalolitenda hapa duniani linaandikwa
Kila mtu aamini kwa imani yake....!!
Hivi Dunia ikisikia kua rais hayuko tayari kushirikiana n.a. upinzani unajua impact yake kiuchumi n.a. kisiasa?Kwani mtu ukitoa maoni yako pasipo kutoa matusi au ukianzisha uzi wenye uhalisia na usio wa kichochezi unakuwa na hofu ya nini?
Tatizo lililopo kuna baadhi yetu tumekuwa maarufu kutunga stori za uongo na kuzijengea hoja then tunataka jamii iamini kama ni kweli kumbe ni upotoshaji
Mtu kama umeanzisha mada yako na ushahidi unao kwa nini uogope? Endapo utahitajika polisi si unapeleka ushahidi?
Fikiria mtu anayeanzisha uzi hapa eti Dangote anahamishia kiwanda Kenya na hizo habari zinasambaa dunia nzima kumbe ni uonge pasipo kufikiria negative impacts kwa wawekezeji walioko huko nje. Mtu kama huyu leo hawezi fanywa kitu sababu tu anatumia ID feki sishangai kesho akaibuka na jambo jingine
Watu wa namna hii lazima washughulikiwe hakuna kulea ujinga. Watanzania tumekuwa maarufu sana wa kupika majungu
Ninakubaliana na wewe kabisa uhuru wa kutoa maoni lazima uheshimiwe na watawala kwani ni takwa la kikatiba lakini uhuru huo lazima uzingatie utu na nidhamu.
Leo mtu akimchukia mtu flani sababu za kiitikadi za vyama au jambo lolote, kesho anamtungia tuhuma na kusambaza kwenye mitandao. Vitu vya namna hiyo siyo vya kulea
kimbia na kapower bank mkuu.Machale yamenicheza, huenda wale wanaotafuta taarifa zao na mimi nimo, kwa hiyo natokomea kwenye misitu ya Cambodia.
#Ashindwetu#Kaka ubarikiwe...vichwa vya namna hii ndio vinapaswa kuwa hapa JF.
Unajenga hoja yako bila dhihaka na matusi.
JF inaharibiwa na watu wachache ambao tafsiri ya uhuru wa kutoa maoni/mawazo kwao ni kujenga na kutoa propaganda za uongo zenye kujenga chuki na uhasama ktk jamii na wasiguswe. Kwakuwa taifa hili linaongozwa kwa mujibu wa sheria...inatupasa kutii sheria za nchi zilizopo hata kama sheria hizo hatuzitaki.
Haiwezekani uje hapa jukwaani ubwabwaje unavyotaka bila kupima athari za kauli zako halafu wakuache tu. Hio Serikali hata sisi wananchi tutaishangaa...haipo hapa duniani.
Uhuru bila mipaka ni fujo.
JF bila nidhamu ya kuongea ni fujo...tusikubali watu wachache wakatuharibia JF yetu.....
Wajukuu zako watakuja kukulaumu sana.kama babu zetu wangekuwa waoga kama wewe.mpaka leo hata uhuru huu wa bendera tusingeupata.
Mi nilikwama kwenye kujua niombe nini!Siku hizi ameacha kusema mniombee maana amekwishajua watu tumemfahamu ni mtu wa aina gani
Ndio maana Nagufuli anaamua kuwabana watu wajinga kama ninyi sasa ishu ya viwanda hapa inatoka wapi? Mpinge Magufuli kwa hoja siyo unakuja hapa kwa vimaneno vyako vya jejeli alaf eti unasema ndio unakisoaMbona mnatishatisha watu, ili iww nini? Kwani mmezuiwa kujenga hivyo viwanda? Au ndio mnatafuta sababu ya kujitetea. Na hamtajenga hata kiwanda cha toothstick kwa woga huu mliouanza mapema hivi.
Ndio yaleyale niliyosema sasa ulichoandika andika hapo ni nini? Max ataendelea kukamatwa kwa kuendelea kuwa na wachangiaji bogaz kama wewe!Tulia huko jikoni umpikie mzee
Ni lini Mungu alihusika kwenye uchaguzi hapa nchini,acha uongo na usiwe unamhusisha Mungu kwenye vitu vya aina hii.Nyie nyote mnaompinga JPM ndiyo mtashindwa vibaya sana kwakua mnashindana na mamlaka itokayo kwa Mungu.Huyo aliyekamatwa kakamatwa kwa mujibu wa Sheria na si kwa maagizo ya JPM.Tuache Sheria ichukue Mkondo wake na si kila kitu kumsingizia Rais.
Niko full Mkuu.kimbia na kapower bank mkuu.
Mkuu au nawewe ni miongoni mwa wahanga wa madili? Maana povu limekutoka mithili ya fisi alie koswa mzogaAcha ujinga dili gani kila raia anayo kafie mbele.
Ashindwe kwa lipi sasa?Miezi michache iliyopita rais Magufuli alisema anatamani malaika ashuke [sijui ashuke toka wapi] aje kuizima mitandao ya kijamii ambayo tumekuwa tukiitumia kupashana habari na kubadilishana maoni na mawazo kuhusu mambo mbalimbali.
Baadhi yetu tuliyachukulia maneno hayo kama ishara ya mambo yajayo kuhusu uminywaji wa hii mitandao na haki ya watu kuitumia kwa kujieleza, kutoa maoni, na kuikosoa serikali.
Sasa kitendo kilichotokea jana cha kukamatwa kwa Max kimethibitisha kuwa huu utawala wa Magufuli umeazimia kutuziba midomo kwa kutumia mabavu ya dola.
Kwa hilo mimi nataka huyo Magufuli ashindwe na alegee kabisa. Sitaki kabisa afanikiwe hata kidogo na watu wote wenye akili zao timamu hawana budi kumpinga na kuifanya hizo azma yake iwe muhali.
Kupinga udhalimu ni jambo la adhama. Na huyu mtu tayari keshaonyesha dalili zote za udikteta. Hivyo tumpinge kwa pumzi na nguvu zetu zote. Kwanza ni mtumishi wetu na si vinginevyo.
Hizi siyo zama za kupelekeshana kwa vitisho. Haogopwi mtu zama hizi.
Akichemka tutamkosoa tu. Akichapia Kiingereza tutamcheka tu. Kama hana ngozi nene ya kuweza kumudu na kuvumilia kuongelewa kwa namna yoyote ile basi aondoke. Aachie ngazi.
Mtu mwenyewe kwanza hafai kuwa rais. Hana haiba ya urais, hana hekima wala busara zinazotakiwa mtu wa kiwango cha rais kuwa nazo. Kila akifungua mdomo wake mtu unaanza kuombea asiongee maneno ya kuaibisha.
Sikuwahi hata siku moja kudhani kuna mtu angekuja kumpiku JK kwenye ubomu lakini ndani ya mwaka tu huyu jamaa keshamuacha mbali mno JK. Pata picha hiyo miaka minne iliyobaki hali itakuwaje.
Huyu mtu tumdindie. Tukinywea atavimba kichwa na kujiona ana nguvu nyingi ilhali hana. Hana nguvu za kuweza kuzidi nguvu ya umma.
Kwa hiyo mimi nataka ashindwe. Tena ashindwe vibaya. Je wewe mdau wasemaje?
Ashindwe kwa lipi sasa?
Sasa jackline jaman uoga kumshauri mtu asizidishe pombe?Ona hili lioga kweli.
Wewe ndio muoga unamuogopa kichaa MagufuliSasa jackline jaman uoga kumshauri mtu asizidishe pombe?