Nataka Rais Magufuli ashindwe

Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Kaka unanfahamu vizuri Raisi wetu, wala usingeandika yote haya.

Atakuwa kasoma na kucheka tu na kuzidi kupanda bichwa la kujisemea na bado.

Uzidi kunwombea apambane na menginr, ya Max nayo imesikitisha wengi na mimi. Bali kuwa na business ya mitandao ni kazi sana na inachanga moto hizi nyingi.

Ila kuna sheria kweli Max amekiuka iliyopo au amechomekewa?
 
Vijana wa Kitanzania mnaongoza kwa UNAFIKI ulimwenguni. Unatumia Fake ID humu JF wakati huo huo unahoji Uhalali na Utendaji wa Rais wa Jamhuri ya Muungano! Ama kweli wapiga Dili mmeshikwa pabaya.
 
Inawezekana kabisa wengi wetu humu tumeathirika na Viroba, kwa uchangiaji huuu sion staha na U great thinker zaidi ni Uhuni na Usela mavi au Kutafuta umaarufu wa vitu vya ovyo ovyo.
Wewe ndio hujui shida za watanzania.
 
Mm nasema ivi tuliyataka wenyewe watu mliambiwa umu bwana uyu l sio mkakataa mkaenda mkachukua makaweka waaaah sasa mvumilie adi 2020 adi vitabu vitukufu vinatutaka kutiii mamlaka kuu
 
Woga wa viongozi wetu wa Nchi kuogopa wananchi wao ndio utaona mambo kama haya badala ya kuwaheshimu. Ukiamua kujiingiza kwenye siasa uwe mvumilivu ukishindwa kaa pembeni na udhaifu wako waachie wanaoweza. Nilitamani JPM afanikiwe kuiongoza hii Nchi vizuri ili tufaidike sote ila hadi sasa sioni dalili nzuri za uongozi wake.
 
Ni kama Game of Thrones, kuna muda diplomacy ikitumika kama ile ya kuongea na Dangote mafikiano yanafikiwa kazi inaenda. Ila udikteta ukianza kutumika mfano huo huo wa Dangote hadi akatishia kufunga kiwanda.

Yaani kuna watu they never learn their lessons kua siku zote diplomacy works just fine, it has worked so for many countries na zikafanikiwa, yeye anajaribu kuiga ya China na Russia, ila anasahau hizo nchi zina sababu yao, kama China hawabani Facebook au Google kwa sababu ya freedom, wanabana kwa sababu ya pesa tu, hizo companies zingeleta competition to local companies kama Baidu na WeChat ambazo ni very popular na zinatengeneza billions of dollars. Russia kuna freedom kuliko Tanzania regardless ya propaganda watu wanazosikia.

2020 nishajua ambaye hapati kura yangu, japo watanzania wanajulikana wakisikia neno mungu kura zote wanampa.
 
20ac95c4c2c631af0fdd582f4bc88c96.jpg
 
Kwani mtu ukitoa maoni yako pasipo kutoa matusi au ukianzisha uzi wenye uhalisia na usio wa kichochezi unakuwa na hofu ya nini?

Tatizo lililopo kuna baadhi yetu tumekuwa maarufu kutunga stori za uongo na kuzijengea hoja then tunataka jamii iamini kama ni kweli kumbe ni upotoshaji

Mtu kama umeanzisha mada yako na ushahidi unao kwa nini uogope? Endapo utahitajika polisi si unapeleka ushahidi?

Fikiria mtu anayeanzisha uzi hapa eti Dangote anahamishia kiwanda Kenya na hizo habari zinasambaa dunia nzima kumbe ni uonge pasipo kufikiria negative impacts kwa wawekezeji walioko huko nje. Mtu kama huyu leo hawezi fanywa kitu sababu tu anatumia ID feki sishangai kesho akaibuka na jambo jingine

Watu wa namna hii lazima washughulikiwe hakuna kulea ujinga. Watanzania tumekuwa maarufu sana wa kupika majungu

Ninakubaliana na wewe kabisa uhuru wa kutoa maoni lazima uheshimiwe na watawala kwani ni takwa la kikatiba lakini uhuru huo lazima uzingatie utu na nidhamu.

Leo mtu akimchukia mtu flani sababu za kiitikadi za vyama au jambo lolote, kesho anamtungia tuhuma na kusambaza kwenye mitandao. Vitu vya namna hiyo siyo vya kulea
Haha we jamaa bwana, kwanini usijipambanue na hao wanaotumia ID feki kwa kutumia majina yako "kama yananavyo onekana kwenye vyeti vyako"?
 
Ni hiv JF huwa inawachana ukweli gov... sasa na vile gov hawapendi... na mfalme ndio hivyo tena... anataka kusifiwa kwa kila jambo. Itanidi... watafute njia za kui shutdown JF
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom