Wawekezaji wapi unaowazungumzia? Maana kampuni zote kubwa ni wageni wapo na hawana mpango wa kuondoka kutokana na mikataba ya kinyonyaji walio saini... anzia kwenye madini Ashanti, Acacia, Williamson , Mantra nenda vitalu vya uwindaji, mahotel ya kitalii, Gesi, uvuvi na usindikaji, viwanda kama polyplastic, viwanda vyote vya cement nani kaondoka? Unapoongelea , kushirikiana lazima ujue unakataa kipi! Na ndio kinachopimwa na jumuiya , kimataifa
Hivi Dunia ikisikia kua rais hayuko tayari kushirikiana n.a. upinzani unajua impact yake kiuchumi n.a. kisiasa?
Wawekezaji wanaotokea kwenye nchi zenye Demokrasia wakisiakia kua vyama vya siasa vimekatazwa kufanya kazi zao za kikatiba unajua impact yake katika uwekezaji n.a. Uchumi kwa ujumla?
Rais anaendelea kuifanya Tanzania kua hostile country for capital importation /foreign investment kama hujui ilo