Kwanza huyu Magufuli hakushinda kihalali uchaguzi, nilimpinga sana na naomba sana pia ashindwe na alegee kuliongoza hili taifa, huyu jamaa tangu awekwe pale Ikulu na tume ya Lubuva amekuwa jeuri, kiburi na amejifanya kuwa mungu mtu asiyetaka kukosolewa pindi pale anapofanya makosa. Anaiongoza nchi kama anaongoza familia yake, ajue hii ni nchi sio familia na hii nchi inaitwa Tanzania ina zaidi ya watu millioni 50 kwa hiyo asijifanye ana akili kuliko watu 50m.
Naunga mkono Magufuli ashindwe na alegee, ni worst president ever
Na akijifanya kiburi zaidi tuaanza kumuandika kwa Kiingereza ili malaika (Wasaidizi) wake wamdanganye wanapomtafsiria.