akishindwwa rais... tunakuwa tumeshindwa wote kama taifa. (kama familia yake hata ikimshinda sawa tu lakini si mambo ya kitaifa)Kila atakachokifanya kishindwe...yaani ashindwe kila kitu mpaka familia imshinde (ingaweje nasikia ilishamshinda siku nyingi)
Kwani mtu ukitoa maoni yako pasipo kutoa matusi au ukianzisha uzi wenye uhalisia na usio wa kichochezi unakuwa na hofu ya nini?
Tatizo lililopo kuna baadhi yetu tumekuwa maarufu kutunga stori za uongo na kuzijengea hoja then tunataka jamii iamini kama ni kweli kumbe ni upotoshaji
Mtu kama umeanzisha mada yako na ushahidi unao kwa nini uogope? Endapo utahitajika polisi si unapeleka ushahidi?
Fikiria mtu anayeanzisha uzi hapa eti Dangote anahamishia kiwanda Kenya na hizo habari zinasambaa dunia nzima kumbe ni uonge pasipo kufikiria negative impacts kwa wawekezeji walioko huko nje. Mtu kama huyu leo hawezi fanywa kitu sababu tu anatumia ID feki sishangai kesho akaibuka na jambo jingine
Watu wa namna hii lazima washughulikiwe hakuna kulea ujinga. Watanzania tumekuwa maarufu sana wa kupika majungu
Ninakubaliana na wewe kabisa uhuru wa kutoa maoni lazima uheshimiwe na watawala kwani ni takwa la kikatiba lakini uhuru huo lazima uzingatie utu na nidhamu.
Leo mtu akimchukia mtu flani sababu za kiitikadi za vyama au jambo lolote, kesho anamtungia tuhuma na kusambaza kwenye mitandao. Vitu vya namna hiyo siyo vya kulea
akishindwwa rais... tunakuwa tumeshindwa wote kama taifa. (kama familia yake hata ikimshinda sawa tu lakini si mambo ya kitaifa)
Tatizo lililopo kuna baadhi yetu tumekuwa maarufu kutunga stori za uongo na kuzijengea hoja then tunataka jamii iamini kama ni kweli kumbe ni upotoshaji
Mtu kama umeanzisha mada yako na ushahidi unao kwa nini uogope? Endapo utahitajika polisi si unapeleka ushahidi?
Fikiria mtu anayeanzisha uzi hapa eti Dangote anahamishia kiwanda Kenya na hizo habari zinasambaa dunia nzima kumbe ni uonge pasipo kufikiria negative impacts kwa wawekezeji walioko huko nje. Mtu kama huyu leo hawezi fanywa kitu sababu tu anatumia ID feki sishangai kesho akaibuka na jambo jingine
Watu wa namna hii lazima washughulikiwe hakuna kulea ujinga. Watanzania tumekuwa maarufu sana wa kupika majungu
Ninakubaliana na wewe kabisa uhuru wa kutoa maoni lazima uheshimiwe na watawala kwani ni takwa la kikatiba lakini uhuru huo lazima uzingatie utu na nidhamu.
Leo mtu akimchukia mtu flani sababu za kiitikadi za vyama au jambo lolote, kesho anamtungia tuhuma na kusambaza kwenye mitandao. Vitu vya namna hiyo siyo vya kulea
Nyani Ngabu,Tafadhali isije ukawa ndio wewe unayesakwa na ambaye umesababisha bosi wetu humu ndani ananyea debe lumpango toka jana.Tunahitaji kuwa na JF yetu. Is part of our life. Huoni kama Malaika anaweza kuifunga JF yetu for good? Twende taratibuuu!Unaogopa?
Nani kasaini sheria ya makosa mitandaoni?Hivi mna u hakika kuwa Rais ndiye kaagiza, kiongozi wetu hapa JF akamatwe?
====
Staha katika kumshauri rais ni muhimu.
Mimi natamani January makamba, nape nnauye na wote walioshadadia sheria ya mitandao wafe tuwazike tumalize shida. By the way nna maono watakufa soon
Na jela siendi na nisharopoka maono ya Lema
Yaani umeshaanza kusepa mapema yote hii?.Tuendelee kujulishana jinsi hali inavyoendelea huko nyumbani mimi niko safarini naelekea Cambodia.
Good idea Kirchoff. Tuambiwe kabisa wanted for whaaat!Mi nadhani ni vyema wampe List Max Mello ya hao wanaohitajika kisha aiweke humu tuone kwa nini wanahitajika kisha tupige kura sisi kuwa watajwe au wasitajwe.
Otherwise nakuunga mkono NN
can't tell exactly where on earth Ben Saanane is.Unafikiri ataenda wapi?
Do you this is easy? To change mindset at the age of 68 years?Mkuu,huyu kiongozi sio mbaya ila kuna vitu vichache anakosea kama binaadam kwa kuruhusu mihemko yake binafsi iliyopitiliza kwenye mambo ya msingi,anatakiwa ajicontrol sana kwani mara nyingi jambo hili humuaribia,abadilishe mindset yake juu ya wanaomkosoa,naamini kwa uchapakazi wake akisikiliza hoja zao na kupata ushauri wa watu wake wa karibu anaowaamini zaidi,anaweza kutoboa sana,kwani sio wote wanaokukosoa hawana hoja,akilitambua hilo atafanya mambo makubwa sana
Akizipanga vizuri karata zake,anaweza kuwa the best president ever happened in our country
Hivi wewe unadhani taifa linaweza kuwa na madikteta uchwara zaidi ya moja?
Acha utani ndugu yangu...hilo neno staha hata halimo kwenye msamiati wake!
Bunge limezibwa mdomo, vyombo vya habari vimewekewa speed gavana na JF mnataka kuiziba mdomo? Hili haliwezekani.
Labda tukumbushane tu inawezekana wengi wameijuwa JF sasa hivi, kama Rais wetu amepania kwa dhati kupambana na ufisadi na mchwa wote wanaolihujumu Taifa basi JF ndio tool number one ya kuitumia bila gharama yoyote.
Watu wa vyombo vya dola mkumbuke kashfa ya Richmond kwa mara ya kwanza ilibuuliwa hapa JF, hata ujiko alioupata Dr Slaa bungeni 90% ya data zake alikuwa anazipata hapa.
Marehemu Samuel Sitta alimponda Dr Slaa ati ana ushahidi wa kuokoteza vichochoroni lakini ukweli ushahidi ule ulikuwa thabiti na hatimaye ukweli ulijulikana.
Majangili wote wakubwa orodha yao iko hapa JF, nilitalajia vyombo vya dola viverify information zilizopo hapa.
Orodha wa wauza unga wakubwa wote iko hapa JF, nilitajia Anti drugs wapate pa Kuanzia through hizi information.
Isitoshe Max kwa nia njema ameweka thread maalum ya kuishauri serikali na kufichuwa uovu mbalimbali yote hii ni kazi bure?
Hivi mtu kama Max anayestahili tuzo kwa kazi aliyoifanya kwa Taifa badala yake tuzo yake ndio iuwekwa ndani?
Huu uzalendo mnatuhubiria tuwe nao nitakuwa vipi mzalendo, kama mzalendo wa kweli kama Max anatendewa haya?
Mwigulu brother cheo ni dhamana, kumbuka hayo mabasi ya kubeba maabusu aliyaleta Laurence Masha finally na yeye akayapanda na alilala segerea.
Cheo cha uwaziri ni dhamana lakini ukirudi nyuma wewe ni mwanachama mwenzetu hapa na wanaomshikiria Max wapo chini yako hivi mheshimiwa huyu Max ameuwa mpaka ushindwe hata kuwaambia vijana wako wampe dhamana atakuja kuripoti polisi? Hivi tukufikiriaje?
Funguwa ile thread ya utetezi wako kuhusu wewe kufoji na kutumia jina la mtu jinsi tulivyokutetea huku tukiujuwa ukweli lakini tulisimama kukutetea kwa sababu tunaujuwa mfumo wa nchi yetu ulikuwaje enzi za mwalimu.
Leo hii wewe huyuhuyu muheshimiwa sana unashindwa kumtetea Max? Ni thread ngapi hapa JF huwa zinapigwa kufuri kama haziendani na maaudhui mpaka vijana wenye mihemko wa Chadema wanasema JF imenunuliwa na ccm?
Kwakweli hii ni chuki ya bure mnaijenga, Max ana wafuasi wengi kuliko mnavyoweza kufikiri labda naona mmeamuwa kulipaisha jina lake hata wasoma udaku sasa wamjuwe maana Max always anaaply low profile.

Watu wenye hekima huwa wanawaonya kina Maxence kuhusu kucheka na watu wanaongea pumba na matusi kupitia nyuma ya keyboard lakini hawakusikia, ndiyo malipo ya kulea ujinga wanaanza kuyapata. Watu wanashangaa nini hata Marekani huko mnakotaka kukimbilia ukimbizi mitandao mikubwa kama yahoo inapelekeshwa na serikali itakua hapa? Watu tujifunze kuwa uhuru una mipaka yake, maana kama una uhuru wa kufanya lolote basi ua mtu uone kama huo uhuru wako utafuatwa, sentensi ya Uhuru inasema "una uhuru wa kufanya lolote ili mradi usivunje sheria" kwanini waliongeza hilo neno kuvunja sheria??? lakini MSIMISEKE SENIOR hapa kuna wengi wanajifanya wanajua huko hawajaverify hizo personel details zao. Mbaya zaidi wanaishi bongo na wanatumia mtandao wa bongo. Kwanini wasiende kutapika hizo nyonga zao katika mitandao ya kimataifa maana huko ndiko wataianika serikali labda na wao kiingereza kinawashinda.Kwani mtu ukitoa maoni yako pasipo kutoa matusi au ukianzisha uzi wenye uhalisia na usio wa kichochezi unakuwa na hofu ya nini?