jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,585
wewe pita tu mkuu sio kila kitu ya shem yako uchangie, wewe si ushapataaaaaaaaaaaHizo kampeni sasa duu haha
shida kwako hakuna niachie shem wangu apate wake wa kumoyo
wewe pita tu mkuu sio kila kitu ya shem yako uchangie, wewe si ushapataaaaaaaaaaaHizo kampeni sasa duu haha
Wooow!! Nimetabasam kama mfungwa aliyepewa msamaha wa Rais leoMkuuu Inna please kuja mapema ulete maneno hapo na sio muziki, maana huwezi simamisha moyo ya shem wangu huku wewe una raha zako.
Please tiba ya moyo ya Saint Ivuga kuja mapema kabla moyo yake haijasimama kabisa.
wooooow Inna
shem wa nguvu I kubali you 100 paceeeeWow what a super in-law I have.
Walai Nitakununulia hyundai baada ya kukamilisha kasubaru ka wifi yako ngoja nitoke mirerani tu wewe
We utaharibu bhana, subiria niwolewe kwanza!!!Oouh... ijayo nitakualika get prepared
Haha msalimie homeboy T . Mwambie akilenga alenge kweli asilete mchezo lolDhambi gani shem jamani!!!
Halafu ni muda huwa unakuja kule???!
Lazima wakushindwe tuu maana mwendo wa swahiba wako sio wa nchi hii jamani
nko kwa ajili yako shem tulia tutaleta mrejesho na natamani uwe positiveWooow!! Nimetabasam kama mfungwa aliyepewa msamaha wa Rais leo
Haha haya mama... nimefunga kadomowewe pita tu mkuu sio kila kitu ya shem yako uchangie, wewe si ushapataaaaaaaaaaa
shida kwako hakuna niachie shem wangu apate wake wa kumoyo
beta ooooohHaha haya mama... nimefunga kadomo
Sister..... Niitie Basi huyu @all MMU ladies.....Mkuuu Inna please kuja mapema ulete maneno hapo na sio muziki, maana huwezi simamisha moyo ya shem wangu huku wewe una raha zako.
Please tiba ya moyo ya Saint Ivuga kuja mapema kabla moyo yake haijasimama kabisa.
wooooow Inna
[emoji8][emoji8]shem wa nguvu I kubali you 100 paceeee
shem acha nianze kuomba ruhusa kwa my love in advance, maana duuuuh hii ofa ni hatareeeeeeYaaani lazima nikupeleke kfc ukale chiken wingz baada ya hapo tunaingia pale century cinema utachagua 3d unayoitaka wewe gharama zote kwangu
Hahaha nimekushika pabaya eeehWe utaharibu bhana, subiria niwolewe kwanza!!!
HahahaHaha msalimie homeboy T . Mwambie akilenga alenge kweli asilete mchezo lol
Shem lakini si tuliambiwa enendeni mkajazee au!
kaka mtafute mwingine wa kumuita huyo @all MMU ladies maana mimi si ni wifieeeeeee, hatanisikiaSister..... Niitie Basi huyu @all MMU ladies.....
Nikiona jina lake yani dah nimewaza mbali sqana
Ntampigia NtampigiaHahaha
We sikuwezi bhana, Umenishinda tabia