Nataka nitrack simu ya mwanangu nifanyaje

Kuanza uswahoba na mtoto ni ujinga tena utamfanya akudharau mm reasoning ili hata nikimuweka chin nijue naongea nae nn na nn ?
Ujinga ni huo uliofanya mwanzo ukajiona gangwe hutaki uswahiba na mtoto angalia sasa unatapatapa kutafuta ku hack simu. Ungekuwa ni ujanja si ungekuwa umemu win mtoto na katulia.

Acha ubishi we jamaa. Huo undezi wa kukataa uswahiba na mtoto ndio umekufikisha hapo unataka kupata pressure. Sasa badili mtazamo wako au kama vipi endelea kujifanya swaziniga kwa mtoto kaza hivyo hivyo alafu utaona
 
Kuanza uswahoba na mtoto ni ujinga tena utamfanya akudharau mm reasoning ili hata nikimuweka chin nijue naongea nae nn na nn ?
Ndio nyie mtoto ukishamkuza na akawa anajitegemea, hataki hata kukujua wala mahusiano na wewe, na hapo ulijibana kimasikini na mikwara mingi ukijua akijipanga atakumbuka ukiwa mzee
Haya nimeyaona....
 
Mzee achana na hizo plan kaa na binti yako umpe darasa la mahusiano na maisha kwa ujumla, mtoe out mara chache itamsaidia.

Sasa wewe hack alafu ukute anamsifia mhuni aliyempeleka kwa mpalange.

Maumivu yake sio madogo itakuharibu sana kisaikolojia na lakufanya hutakuwa nalo
Bora hata wee ume muambia ukweli, japo inaumiza.
 
Wewe ni Mjinga

Mfanye mtoto kua Rafiki yako

Utamsaidia kwa lolote.


Mjinga mmoja wee, Inamaana ukishahack?? Mtoto ??

Muhack mkeo sasa, ukute anachat na CARLOS .


kaa na mtoto, ongea naye, mpe elim ya unachotaka.


Kuna jiran alikua mpaka likizo haruhusu mtoto kutoka nje ya Geti.


Lkn kuna siku, aliambiwa, mtoto anamimba.
Hii ya kufungia watoto ndani ya gate sio nzuri, hata kwa jinsia Me, watoto wanakosa ujasiri na uelewa wa mambo ya nje, mwshowe wanaharibikiwa.
 
Muite mtoto kaa nae chini ongea nae atakuelewa zaidi hayo ya ku hack simu yake ina maana tayari hamko close nae. Na kama hamko close nae inaweza kuwa sababu ya yeye kuharibikiwa

Kwa hiyo anza kubadilika wewe kwanza mkuu kisha mbadili mtoto. Kama hamna u close hata uki hack simu na ukagundua madudu ya aina gani hautaweza kumbadili tena!
Je kama ameishafanya yote hayo uliyoshauri unashauri afanye nini? Je hiyo simu umenunulia wewe? Je anaitumia muda wote? Je ni jinsi/umri gani? Kwanza, muombe simu yake uone atasemaje. Kama yuko chini ya uangalizi wako na bado hajafikia umri wa kufanya maamuzi, una haki ya kumtaka akupe pin/password ya simu husika ujiridhishe anavyoitumia. Kama anatumia internet yako, izime usiku uone ataonyesha dalili au tabia gani ndipo uende mbali zaidi.
 
Unatafuta pressure bure ... Huyo ni mtu mzima mwenzio kaa nae tu mpeane vigezo na masharti
 
Mi nadhani haina haja ya kufanya ivo maana hata ukimchunga sana utotoni ina maana kuna mambo hata ya fanya akiwa kwa umri wake atakuja kuyafanya akiwa ukubwani endapo hata kuwa kwako ni bora tu umwache cha msingi tu ni kuongea nae kama mzazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom