Nataka nikope benki niwekeze UTT

Nataka nikope benki niwekeze UTT

Hivi unajua why watu wanakuwa matajiri? ni kwa sababu wanawekeza kwenye eneo lenye risk kubwa na huwa wanakopa na watu huwa wanashangaa why huyu kawekeza kwenye hiki kitu then baadae watu wanasema ningejua! ila inakuwa too late. Personally namfahamu mtu ambaye alikopo 100M back then akanunua bitcoin kitambo hicho zinauzwa around TZS 11,000 leo hii BItcon moja ni TZS milion 307 na huyu jamaa ana bitcoin 9000 plus then zidisha hapo uone atakuwa ana TZS ngapi kwa sasa. na hajaziuza mpaka leo maana ana price target yake ambapo huwa anasema very soon zitafika.
Nakumbuka hata Dangote alikopa dola 3,000 kwa mjomba wake Alhaji Aminu Dantata mwaka 1977 na kuanza biashara akiwa hana uzoefu wowote wa biashara
Sawa Ontario.
 
We jamaa uliishia la ngapi? 50M ili upate 400k ni wastani wa 9%-12% sawa na 1% kwa mwezi. Bank zenyewe zinaweza kutoa hiyo faida ya 12% kwa mwaka yani bank ziache kukopesha wafanya biashara wanaolipa mpaka 25% au waache kufanya forex au hamna hamna waache kuwekeza B.O.T au kununua hisa waje wawekeze UTT? Kupata 12%?
Unajua wakiweza UTT wataokoa kiasi gani kwenye operations zao za kila siku?
 
Kingine lazima ujue utt watakulipa hizo hela monthly au kila baada ya miezi sita ndio unaweza kuzichukua
 
Kama unafanya hivyo labda iwe kama maandalizi ya kustaafu ila hiyo pesa haiwezi kukulipia deni la mkopo wako. Isipokuwa ukiwekeza hiyo pesa kwa kipindi cha miaka 10 bila kutoa faida yake, utapata around 105milioni kama faida.

Swali linakuja, ndani ya miaka 10 benki watakupiga jumla ya riba kiasi gani ili ujue kama umepata faida au hasara?
 
Nilichokuwa namaanisha, hizo faida utakuwa unazi withdraw muda wowote?
Baada ya siku tatu baada yakufanya request. Kitakachoshindikana hapo je atapata mkopo wa miaka 10? Je riba yake ataimudu?
 
We jamaa unaona nisimple et? Yani uweke 50m upate 400k unaona nisimple😀
Mkuu huoni hiyo question mark? Na mimi nimemuuliza mleta mada. Kifupi mimi na wewe tuna ongea lugha moja kuhusu hili.
 
Nikama UTT imetereza mwezi uliopita ususani Bond. Wenye Acc zenu chungulieni
 
Ni vizuri kufanya savings zako mwenyewe ili kuweka UTT, faida ya UTT haiwezi kurudisha riba ya bank
Kwa milioni 50 alizosema anaweza lipa riba ya bank, plus faida ya 50m Kwa miaka 10.

It means akiweka 50 m utt bila kuchukua faida, atapata jumla ya 150m. Ukitoa principal ya 50m na riba 50 m , sio tu kalipa riba na faida anapata
 
Kuna jamaa amebwabwaja khs mtu kuwa na bitcoin 9000 😂 Naona ameamua kufuta comment yake
 
Kuna jamaa amebwabwaja khs mtu kuwa na bitcoin 9000 😂 Naona ameamua kufuta comment yake
🤣 jamaa mwongo sana , nilimuuliza hata huyo jamaa angekuwepo uwezekano wa yeye kumfahamu au kuwa rafiki yake haupo 🤣
 
Back
Top Bottom