Nataka nikope benki niwekeze UTT

Nataka nikope benki niwekeze UTT

Nimeona UTT inajadiliwa sana kuna mmoja amesema ukiwekeza mil 50 kila mwezi utapata faida ya 400k,

Nataka nikope mil 50 NIWEKEZE UTT ili zile faida za 400k

Kila mwezi nirejeshe benki mwisho wa siku niwe na mil 50 zangu UTT na deni nimemaliza
UTT naye anachukia hizo Amana zenu anakopesh mabenki
 
Kwa milioni 50 alizosema anaweza lipa riba ya bank, plus faida ya 50m Kwa miaka 10.

It means akiweka 50 m utt bila kuchukua faida, atapata jumla ya 150m. Ukitoa principal ya 50m na riba 50 m , sio tu kalipa riba na faida anapata
Haiwezekani kk. Maana bank ina muda maalumu wa kulipa mkopo. Na kadri mkopo unavyokuwa wa muda mrefu riba inapanda.
 
Ila huyu mleta mada huenda ana hoja.

Hebu tu assume umekopa hiyo 50m ukajenga nyumba ya kupanga. Je, ndani ya miaka 7 itakua imerudisha hela ili uanze kupata faida?
Nyumba ya milioni 50... Kiwanja + nyumba hupati kodi ya 400k
 
UTT naye anachukia hizo Amana zenu anakopesh mabenki
Naserikali pamoja na kununua hisa. Ukiwa na akili ya fedha unaweza kufanya hicho anachofanya UTT mwenyewe kutengeneza faida, lakini wewe unaweza kupata lost kwasababu huna elimu pia unamtaji mdogo
 
Sio rahisi mkuu afu itakuchukua miaka kibao kurudisha pesa yako ndio uje upate faida sasa
Kuna kitu tunachukulia poa... Kukusanya hela ikafika 50M sio mchezo. Building wealth is a long time game.

Sio kila mtu anaweza kuwa mfanyabiashara. Financial markets ni alternative nzuri
 
🤣 jamaa mwongo sana , nilimuuliza hata huyo jamaa angekuwepo uwezekano wa yeye kumfahamu au kuwa rafiki yake haupo 🤣
Nmetafuta comment yake na mm nimpe neno la busara kumbe kakimbia bhana 😂 jamaa tapeli huyu
 
Haiwezekani kk. Maana bank ina muda maalumu wa kulipa mkopo. Na kadri mkopo unavyokuwa wa muda mrefu riba inapanda.
Riba ya milioni 50 Kwa miaka kumi bank inaweza kuwa sh. Ngapi? Kwa mkopo wa mshahara ni kama 50m. So faida ipo. Maana 50 m utt Kwa miaka kumi inatoka 150m. Ni issue ya mahesabu tu.
 
Riba ya milioni 50 Kwa miaka kumi bank inaweza kuwa sh. Ngapi? Kwa mkopo wa mshahara ni kama 50m. So faida ipo. Maana 50 m utt Kwa miaka kumi inatoka 150m. Ni issue ya mahesabu tu.
kwani huo mkopo utasubiri hadi miaka 10 ndio ulipe au utatakiwa kurejesha kila mwezi? Je pesa ya kurejesha utaitoa wapi? Kama ni huko huko UTT it means hiyo haitafika huko 150m unayosema
 
Nimeshasema ikiwa ana source nyingine ya kulipia huo mkopo mwisho wa siku atapata faida. Mfano mkopo wa wafanyakazi.
kwani huo mkopo utasubiri hadi miaka 10 ndio ulipe au utatakiwa kurejesha kila mwezi? Je pesa ya kurejesha utaitoa wapi? Kama ni huko huko UTT it means hiyo haitafika huko 150m unayosema
 
Kama ukikopa 50M kwa riba ya 18% na if possibe kuirudisha ndani ya miaka 10 (miezi 120) utarudisha milion 59. Kama ukiweka UTT , 50M bila kutoa hata 100 ndani ya miaka 10 utapata 155.2M so kama utakuwa unategemea kila faida ya mwezi ya utt kurudisha mkopo inamaana hutopata ile compound interest . Tufanye hiyo milion 50 ikupe 450,000 kila mwezi X 120 badoutarudi pale pale hiyo ni kwa riba ya 18% juu ya hapo utapata loose zaidi
 
Kimahesabu iko hivi:

Ukikopa milioni 50 leo, kwenye benki yenye riba ya asilimia 18, kwa marejesho ya miaka 10, jumla utarejesha shilingi milioni 108.

Hiyo milioni 50 ukiiwekeza leo UTT, kwa riba ya asilimia 12 kwa mwaka, kwa muda wa miaka 10, itazalisha shilingi milioni 165.

Kama huo mkopo wa 50m utakua unakatwa kwenye mshahara (hautoi UTT), baada ya miaka 10 utakua huna deni, na una milioni 165 UTT.
 
Ishu atafute source ya kulipa mkopo ila sio gawio la utt
 
Back
Top Bottom