Nataka nikope benki niwekeze UTT

Nataka nikope benki niwekeze UTT

Ningekuwa mimi ndiyo wewe ningekopa hiyo hela then ningewekeza kwenye cryptocurrencies zenye future techs ambazo zitausaidia ulimwengu very soon current financial system itakapocollapse. Nina uhakika ungekuwa billionaire na watu wangesema wewe ni freemason. Elewa sijasema usiwekeze UTT! Ila kumbuka high risks high returns na uwekezaji kwenye cryptocurrencies inabidi uwe na uelewa tena mkubwa. if huna uelewa na hauko tayari kujifunza then nakushauri please usijiingize kwenye cryptocurrencies please wekeza tu UTT.
Nashangaa matraders wengi niliokutana nao sijaona mwenye akiba hata ya mil moja
 
Nimeona UTT inajadiliwa sana kuna mmoja amesema ukiwekeza mil 50 kila mwezi utapata faida ya 400k,

Nataka nikope mil 50 NIWEKEZE UTT ili zile faida za 400k

Kila mwezi nirejeshe benki mwisho wa siku niwe na mil 50 zangu UTT na deni nimemaliza
Ukikopa usiweke UTT nenda nunua bond za serikali zenye riba ya asilimia 15 , sababu mikopo against bond na UTT riba ni around 16% while UTT ni 9% . Na bond itakuwekesha kukopa up to 80% while kwa UTT itakuwa chini ya 50% ya investment uliyoweka
 
So unapomwambia asichukue kabisa...unajuaje kama atapata shida ya kufanya kuchukua? Hizo shida sasa ndo zisiwepo...everything iwe ok...no any external factor iingilie kati..mfano mwingine hicho kipato chake cha laki mbili kipatikane through out for 15 yrs...
 
Kwa ufupi interest ya benki , itazidi faida ya interest utakayopata UTT. Hivyo hilo wazo halitekelezeki kwa faida..
 
So unapomwambia asichukue kabisa...unajuaje kama atapata shida ya kufanya kuchukua? Hizo shida sasa ndo zisiwepo...everything iwe ok...no any external factor iingilie kati..mfano mwingine hicho kipato chake cha laki mbili kipatikane through out for 15 yrs...
Agree. Nilikua namjibu member aliyesema akiweka 200k atapata 50m. Ni zaidi ikiwa ana reinvest na riba. Ni kama scheme ya kujiandaa kustaafu.

Changamoto ndo hiyo utaweza kutokuchukua hiyo pesa miaka yote hiyo? Upigwe na shida ya maana na una milioni zako 40 mahali?.....
 
Hiyo ndio changamoto
 
Hivi unajua why watu wanakuwa matajiri? ni kwa sababu wanawekeza kwenye eneo lenye risk kubwa na huwa wanakopa na watu huwa wanashangaa why huyu kawekeza kwenye hiki kitu then baadae watu wanasema ningejua! ila inakuwa too late. Personally namfahamu mtu ambaye alikopo 100M back then akanunua bitcoin kitambo hicho zinauzwa around TZS 11,000 leo hii BItcon moja ni TZS milion 307 na huyu jamaa ana bitcoin 9000 plus then zidisha hapo uone atakuwa ana TZS ngapi kwa sasa. na hajaziuza mpaka leo maana ana price target yake ambapo huwa anasema very soon zitafika.
Nakumbuka hata Dangote alikopa dola 3,000 kwa mjomba wake Alhaji Aminu Dantata mwaka 1977 na kuanza biashara akiwa hana uzoefu wowote wa biashara
Motivesheni spika kwenye ubora wako kwahiyo jamaa ana utajiru sawa na bakhresa
Screenshot_20250724-152553.jpg
 
Hivi unajua why watu wanakuwa matajiri? ni kwa sababu wanawekeza kwenye eneo lenye risk kubwa na huwa wanakopa na watu huwa wanashangaa why huyu kawekeza kwenye hiki kitu then baadae watu wanasema ningejua! ila inakuwa too late. Personally namfahamu mtu ambaye alikopo 100M back then akanunua bitcoin kitambo hicho zinauzwa around TZS 11,000 leo hii BItcon moja ni TZS milion 307 na huyu jamaa ana bitcoin 9000 plus then zidisha hapo uone atakuwa ana TZS ngapi kwa sasa. na hajaziuza mpaka leo maana ana price target yake ambapo huwa anasema very soon zitafika.
Nakumbuka hata Dangote alikopa dola 3,000 kwa mjomba wake Alhaji Aminu Dantata mwaka 1977 na kuanza biashara akiwa hana uzoefu wowote wa biashara
Huwezi kumjua mtu kama huyo acha kutupiga mkuu
 
Nimeona UTT inajadiliwa sana kuna mmoja amesema ukiwekeza mil 50 kila mwezi utapata faida ya 400k,

Nataka nikope mil 50 NIWEKEZE UTT ili zile faida za 400k

Kila mwezi nirejeshe benki mwisho wa siku niwe na mil 50 zangu UTT na deni nimemaliza
As simple as that?
 
Kwa akili ya kawaida ingekuwa inawezekana kirahisi hivi benki zenyewe zingekuwa zinawekeza UTT.
 
We jamaa uliishia la ngapi? 50M ili upate 400k ni wastani wa 9%-12% sawa na 1% kwa mwezi. Bank zenyewe zinaweza kutoa hiyo faida ya 12% kwa mwaka yani bank ziache kukopesha wafanya biashara wanaolipa mpaka 25% au waache kufanya forex au hamna hamna waache kuwekeza B.O.T au kununua hisa waje wawekeze UTT? Kupata 12%?
 
Back
Top Bottom