TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,551
- 20,260
Kama akichukua faida ya UTT (bila kugusa ile 50m ya mtaji) halafu akawa anajazia hiyo difference kutoka mfukoni kwake, baada ya miaka 10 atamaliza deni, na atakua na 50m yake UTT.Kama ukikopa 50M kwa riba ya 18% na if possibe kuirudisha ndani ya miaka 10 (miezi 120) utarudisha milion 59. Kama ukiweka UTT , 50M bila kutoa hata 100 ndani ya miaka 10 utapata 155.2M so kama utakuwa unategemea kila faida ya mwezi ya utt kurudisha mkopo inamaana hutopata ile compound interest . Tufanye hiyo milion 50 ikupe 450,000 kila mwezi X 120 badoutarudi pale pale hiyo ni kwa riba ya 18% juu ya hapo utapata loose zaidi