Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,796
- 6,443
Nimeona UTT inajadiliwa sana kuna mmoja amesema ukiwekeza mil 50 kila mwezi utapata faida ya 400k,
Nataka nikope mil 50 NIWEKEZE UTT ili zile faida za 400k
Kila mwezi nirejeshe benki mwisho wa siku niwe na mil 50 zangu UTT na deni nimemaliza
Riba ya benki (wastani wa 18% kwa mwaka) ni kubwa kuliko faida ya UTT (wastani wa 13% kwa mwaka. Utapata hasara.