Nataka nikope benki niwekeze UTT

Nataka nikope benki niwekeze UTT

Nimeona UTT inajadiliwa sana kuna mmoja amesema ukiwekeza mil 50 kila mwezi utapata faida ya 400k,

Nataka nikope mil 50 NIWEKEZE UTT ili zile faida za 400k

Kila mwezi nirejeshe benki mwisho wa siku niwe na mil 50 zangu UTT na deni nimemaliza
Ukilima matikiti kupitia WhatsApp group, ndani ya mwezi mmoja tu unakuwa trilionea (wakati huo anayekuhamasisha/roll model wako ni motivation speaker)

Ila ukiingia shambani ukaanza maandalizi, utagundua hata mtaji uliopigia budget hautoshi
 
Ila huyu mleta mada huenda ana hoja.

Hebu tu assume umekopa hiyo 50m ukajenga nyumba ya kupanga. Je, ndani ya miaka 7 itakua imerudisha hela ili uanze kupata faida?
Nyumba uliochukulia mkopo ili ujenge kwaajili ya kupangisha payback period yake ni ndefu sio ya shorttime
 
Ukikopa 50 M kwa miaka 9 unakua unalipa riba ya 45 M na utakua unarudisha 876k kila mwezi. Wkati huo, wewe kule UTT utakua unapewa wastani wa 500k. Kama hautaitoa hiyo hela ya UTT, itakubidi uwe na 45 M separate ya kulipa hilo deni for 9 years na baada ya miaka 9 kule UTT utakuta kule UTT una 138 M. Wakati huo wewe utakua imeinvest jumla ya 50 M na 45 M ambayo ni 95 M kwa miaka 9 unatapa 138 M

Ukiwa unaitoa hiyo faida ya UTT, maana yake utakua unaongezea 376k kila mwezi kwa miaka tisa. Ukimaliza miaka 9, Kule UTT utakuta kuna just milioni 50 zako zile zile (hakuna compound interes).

Kukopa na kuweka hela UTT kuna faida nzuri kama unakopa mikopo yenye riba sifuri (kama mikopo ya waajiri ile) otherwise unaifaidhisha benki tu.
IMG_0045.jpeg
IMG_0047.jpeg
 
Usi hangaike we kopa kwa Kiranga, ili wakati wa kulipa ujue hell ina exist hapa hapa duniani
Moja ya vitu nisivyojali kabisa ni kurudishiwa hela nilizomkopesha mtu.

Kwa sababu nikimkopesha mtu tayari huwa nahesabu nimetoa charity. Sitegemei irudi.

Halafu naangalia character yake.

Kuna mtu tumekua naye alinililia njaa nikampa hela, tena si ndogo. Kabla ya kunilipa akanililia tena, nikampa tena.

Sasa hivi hata kunisalimia anaona haya.

Hiyo ilikuwa 2018.

Sijawahi kumuuliza hata mara moja ile hela yangu vipi.
 
Barikiwa mkuu kwa moyo huo wa utoaji, ila huenda una kaushia kwa kuwa mzigo ni mnene.

Hahaha character baada ya kupokea, huwa ina define uhalisia wa watu wengi.

Ila usife moyo, mimi uki nikopa nita rudisha hata iwe senti mia.
 
Sasa hivi nipo behind a firewall.

Ukitaka mkopo nakwambia mimi sihusiki na habari za pesa, muhasibu wangu anashughulikia mambo hayo nenda kaongee naye.

Muhasibu mwenyewe sasa!
 
Sasa hivi nipo behind a firewall.

Ukitaka mkopo nakwambia mimi sihusiki na habari za pesa, muhasibu wangu anashughulikia mambo hayo nenda kaongee naye.

Muhasibu mwenyewe sasa!
Picha lina anza muhasibu ana miliko glock, huku aki hitaji barua yako ya uthibitisho wa kurejesha mkopo.

Na deni lita lipwa vipi iki tokea ume enda mia😂😂
 
Back
Top Bottom