Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 2,534
- 5,748
Ni kweli faida ya UTT ni wastani wa asilimia 12. Na mkopo wa mshahara Kwa mfano ni asilimia 17.Mmmh japo sio mtaalamu wa maswala ya fedha ila mbona kama riba ya mkopo itazidi faida ya UTT
Ikiwa utakopa mkopo wa mshahara say wa miaka 10 na kuweka pesa zote utt na ku-reinvest zile riba za utt mpaka mkopo wa benki unaisha utakua umepata faida.
Kwa mkopo wa 50M, utapata jumla ya 155M from Utt.