Tumainiandy

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
429
86
KARIBU, Tunauza Mbuzi na Kondoo kwa bei nafuu kwa ajili ya nyama na kufuga tunazo aina za mabeberu wenye uwezo wa kuzalisha Mapacha. Tuko Dar tupige au whatapp no 0713318671.

Furahia Maisha.
1670614896608.png

Picha za  Mbuzi 3.jpg
Picha za  Mbuzi 4.jpg
Picha za  Mbuzi 1.jpg
Mbegu hiyo ni ya  kuzalisha mapacha.jpg
09th december  1.jpg
09 th December 02.jpg
herbs eater.jpg
 
Attachments

  • 09 th December 02.jpg
    09 th December 02.jpg
    192.3 KB · Views: 42
Faida za nyama ya mbuzi kutokana na utafiti wa Southern University cha Louisina Marekani ni kama ifatavyo
Nyama ya mbuzi ni chanzo muhimu cha virutubisho.
. Nyama ya mbuzi ina aina maalum
ladha.
 Nyama ya mbuzi ina kalori chache, mafuta yote,
ulijaa mafuta na haina cholesterol kwa sababu mbuzi wanaolishwa majani huchanganya na herbs nyingi na hivyo kuwa na virutubisho ving sana.
 Nyama ya mbuzi ina mafuta kidogo kwa 50-65% kuliko nyama iliyoandaliwa vivyo hivyo ya Ng'ombe
 Nyama ya mbuzi ina mafuta chini ya 42-59%.nyama ya kondoo.
 Kiwango cha unyevu na mafuta ni tofauti na umri wa mbuzi.
 Nyama ya mbuzi ina viwango vya juu vya Iron, Potasiamu, Thiamine na chini viwango vya Sodiamu kuliko nyama ya Ng'ombe.
 Nyama ya mbuzi ni chanzo bora cha protini. Kwasababu inasagwa kirahisi na tumbo
 Nyama ya mbuzi ni chanzo kizuri cha niasini, Vitamini B12 na Riboflauini
 Nyama ya mbuzi ina fosforasi nyingi, Shaba na Selenium na ni chanzo bora cha Zinc.
Mwisho wa kunukuu ila kwa kuongezea ukiona jinsi mbuzi wanavyokula miti na majani unajua mchanganyiko wake kwa kweli ni lishe bora. Karibu tukuhudumie
 
Chief kama ulivyoweka tangazo hadharani basi na bei nayo iwe hivyo hivyo.

Mambo ya kujibu inbox yanaleta ukakasi kidogo. Hata kama bei inatofautiana, at least weka price range mf. Kati ya 10,000-30,000.

Hata kama ni udalali na una hofu boss ataona unapiga sana mwambie akubaliane tu na hali ya biashara as long as chake anakipata.
 
Chief kama ulivyoweka tangazo hadharani basi na bei nayo iwe hivyo hivyo.

Mambo ya kujibu inbox yanaleta ukakasi kidogo. Hata kama bei inatofautiana, at least weka price range mf. Kati ya 10,000-30,000.

Hata kama ni udalali na una hofu boss ataona unapiga sana mwambie akubaliane tu na hali ya biashara as long chake anakipata.
Niselete mjadala mrefu kwenye hii range wa mbuzi ni 120,000 mpaka 270,000/ Karibuni
 
Faida za nyama ya mbuzi kutokana na utafiti wa Southern University cha Louisina Marekani ni kama ifatavyo
Nyama ya mbuzi ni chanzo muhimu cha virutubisho.
. Nyama ya mbuzi ina aina maalum
ladha.
 Nyama ya mbuzi ina kalori chache, mafuta yote,
ulijaa mafuta na haina cholesterol kwa sababu mbuzi wanaolishwa majani huchanganya na herbs nyingi na hivyo kuwa na virutubisho ving sana.
 Nyama ya mbuzi ina mafuta kidogo kwa 50-65% kuliko nyama iliyoandaliwa vivyo hivyo ya Ng'ombe
 Nyama ya mbuzi ina mafuta chini ya 42-59%.nyama ya kondoo.
 Kiwango cha unyevu na mafuta ni tofauti na umri wa mbuzi.
 Nyama ya mbuzi ina viwango vya juu vya Iron, Potasiamu, Thiamine na chini viwango vya Sodiamu kuliko nyama ya Ng'ombe.
 Nyama ya mbuzi ni chanzo bora cha protini. Kwasababu inasagwa kirahisi na tumbo
 Nyama ya mbuzi ni chanzo kizuri cha niasini, Vitamini B12 na Riboflauini
 Nyama ya mbuzi ina fosforasi nyingi, Shaba na Selenium na ni chanzo bora cha Zinc.
Mwisho wa kunukuu ila kwa kuongezea ukiona jinsi mbuzi wanavyokula miti na majani unajua mchanganyiko wake kwa kweli ni lishe bora. Karibu tukuhudumie
Aisee!
 
Vp kuhusu uric acid??
Inayoleta gaut??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa na tatizo la gout usilpendelee kula nyama nyekundu yeyote. Tatizo hili haswa huletwa zaidi na uwezo wa mwili usipokuwa na uwezo mzuri wa kuchuja sumu, uzito mkubwa na unywaji wa pombe. so ukiwa kwenye hayo matatizo ni vyema kuepuka nyama nyekundu. Na kama unakula nyama nyekudu Nyama ya mbuzi ni miongoni mwa nyama bora sana kwa kuwa mbuzi hasa hawa wakwetu wanakuna majani na miti ambayo i hii miti ni kama herbs so wanakuwana virutubisho vya kutosha. Karibu

1670655738902.png
 
Back
Top Bottom