Mwalimu Truth
Member
- Feb 15, 2015
- 57
- 62
Habarini wafugaji,nimepitia nyuzi nyingi humu ndani. Ufugaji wa kuku,Bata na ng'ombe umezungumziwa kwa kiasi kikubwa sana, nyuzi hizo zimenisaidia katika mradi wangu wa ufugaji.
Kwa sasa nataka nipanue mradi wangu na kuongeza ufugaji wa mbuzi wa kienyeji, nitumie mbinu gani ili niweze kunufaika na ufugaji huo?
Kuna mfugaji mmoja kanishauri nianze na mbuzi kumi wenye uwezo wa kuzaa mapacha pamoja na dume moja kwahiyo mbuzi 11. Majike hayo kumi yakinizalia pacha awamu ya kwanza nitapata mbuzi wapya 20, wakinizalia awamu ya pili nitapata wengine wapya 20 na kutimiza 50 anasema mbinu hiyo ilifanya kazi kwa upande wake. Je, wewe mwenye uzoefu wa ufugaji wa mbuzi unanishauri nini?
Binafsi ufugaji wangu, natarajia kumtafuta Shamba Boy wa kuwachunga na kuwarudisha jioni kila siku.
Ahsante.