FANYA MAAMUZI UPESI YA KUACHA MARA MOJA!!!!
wewe cyo wa kwanza!hiyo level ni wengi sana huwa na ugomvi wa nafsi,hasa matokeo ya napokuwa mabaya wakati anasoma hyo level!
kwanza nakupongeza kwa kuligundua hlo mapema na muda sahihi
pili, hata ukiendelea kusoma ni dhahiri kuwa div. zero haikwepeki katka mtihani wako wa mwisho.(NECTA)
Tatu, hata ukijitahidi saana ukaikimbia zero basi utapa div.Four au three ya mwishoni kabisa
ambapo ufaulu huo hautakupeleka POPOTE! na utaishia kurudi nyuma na kutumia cheti cha form four.
wewe tayari unabahati nzuri ya kufaulu form four (hauna cheti feki).kwa hyo mda wowote unaweza kwenda chuo,yaani college (hongera kwa hilo)
Mimi pia nimesoma hyo comb.(PCB),na ninajua mziki wake, ila nilimaliza na nina fanya kazi kwa sasa.
mbali na hilo nilikuwa na mdogo wangu ambaye na yeye alichukua comb. hiyohiyo.Kwa sababu ninajua ugumu wake niliamua kumwachisha!yaani asiendelee na kidato cha tano na nikatumia mtaji wa cheti chake cha form four sababu alikuwa na ufaulu mzuri,nikamfanyia application NACTE na ilikuwa miezi kama hiihii pale NACTE wanapofungua system yao.kwa hyo na ww waweza kufanya hvo mapema kabla nacte hawajaacha kupokea maombi(maana sasa hv wanapokea maombi hadi 23/8/2017)
kwa hyo fanya hvo kungaliko mapema!chagua course yeyote(kama ni CO,nursing,pharmacy,
dentist,radiology,na hata zile course za art na zingine kibao! kwny chuo unachokipenda!
kama wazazi wako wanao uwezo wa kukulipia karo,huu ushauri utakufaa sana lakini kama hawana uwezo!basi huna namna,subiri tu kufeli form six.
kwa hyo,sio kwamba uache shule sasa hivi,hapana,fanya application endelea kusoma huku ukisubiri kuchaguliwa na NACTE katika chuo husika(yaani hadi mwezi wa kumi).NACTE wakitoa umechaguliwa basi ndo unaacha rasmi na wasipokuchagua hyo mwezi wa kumi basi huna namna zaidi ya kuendelea cha sita huku ukisubiri div.zero,four au three ya mwishoni.ni juu yako kuamua mapema ili kusave time.