Nataka niache advance PCB nahisi imenishinda

Nataka niache advance PCB nahisi imenishinda

muoga wa jf

Senior Member
Joined
Jun 27, 2016
Posts
198
Reaction score
225
Since nimeingia advance sijawahi kupata zaidi ya 50marks kwenye chem&phys zaidi napataga kwa bios isitoshe mtihani wangu wa annul form five nimepata zero ffs respectively kwa PCB sasa nimekata tamaa kabisa na kuona hakuna ninachofanya zaidi ya kwenda kuzungusha form six 2018. Hivyo rasmi nahitaji kuongea na wazazi nitafute alternative ways ya kwenda collage nikachuke course nyingine

N.B sio kwamba sisomi nasoma tena sana ila sielewi kwanini inakuwa hivi

Pia o level nilifaulu vizuri tu kwa CCA in PCB

==========

MREJESHO(2023)

Wakuu kwa sasa nimerudi baada ya miaka kadhaa naomba nilete mrejesho.

Kiukweli sikuweza kuendelea na advance PCB nikaamua kwenda diploma ya afya kwa course ya Nursing and Midwifery, nikagraduate mwaka 2020.

Baada ya hapo nimeweza kufanya kazi hospital mbili moja dispensary Dar na nyingine mkoani Iringa hospitali ya mkoa.

Kwa sasa Tangu mwaka jana niko moja ya shirika kubwa la afya nikifanya kazi mbalimbali katika project zinazohusiana na research.

Hivyo sijajutia uamuzi nilioufanya kama itampendeza Mungu mwaka huu nitarudi kusoma bachelor ya physiotherapy Muhas au natafuta scholarship nikasome Public health bachelor nje.

Asanteni sana.

Narudi kwenye id yangu mpya...
 
Hapo ndio utawaelewa ambao hutokea Form 4 na kujiunga direct chuoni for Diploma... PCB si comb ya kitoto so kama uliingia kwa kuunga unga ni hatari...usipoteze muda hapo...kama unapenda kusoma health related issues basi hujachelewa.....jiunge mwaka huu wa masomo utimize ndoto zako otherwise utaja juta tu mwishoni mwa Form 6.

Wapo wengi wanaougulia kimyakimya...nakupongeza wewe kwa kuliona hilo na kuomba ushauri...Haya ni maoni yangu binafsi,yanaweza kukusaidia au either way...Pole sana dogo
 
Naamini wewe utakuwa mzuri kwenye kukariri maana biology bila hiyo tekinik utajuta... . sasa kama umeweza kuifanya vizuri hiyo biology pia tumia hiyo njia kusoma hayo mengine

NB...
Advanced msuli wale tembo matokeo sisimizi...

Hata T.O atakayetangazwa mwaka huu aliapitia hizo changamoto lakini alijikaza
 
Since nimeingia advance sijawahi kupata zaidi ya 50marks kwenye chem&phys zaid napataga kwa bios isitoshe mtihani wangu wa annul form five nimepata zero ffs respectively kwa pcb sasa nimekata tamaa kabisa nakuona hakuna ninachofanya zaidi ys kwenda kuzungusha form six 2018..hivyo rasmi nahitaji kuongea ba wazazi nitafute alternative ways ya kwenda collage nikachuke course nyingine

N.B sio kwamba sisomi nasoma tena sana ila sielewi kwanini inakuwa hivi
-pia o level nilifaulu vizuri tu kwa CCA in PCB
If possible uende college kwa cheti cha form four tena mwaka huu! Binafsi sipendi kulazimisha mambo
 
naamin wewe utakuwa mzuri kwenye kukariri maana biology bila hiyo tekinik utajuta... . sasa kama umeweza kuifanya vizuri hiyo biology pia tumia hiyo njia kusoma hayo mengine

NB...
Advanced msuli wale tembo matokeo sisimizi...

Hata T.O atakayetangazwa mwaka huu aliapitia hizo changamoto lakini alijikaza
 
Kiukweli mie nilisoma, sylabuss yake ni ndefu, mifano na maswali ya kusolve inabidi ufanye mengi sana na ujinyimebkila kitu kama upo shule ya serikali ili ufaulu.

Mwalimu nae anatakiwa afundishe kwa uzoefu sio kila kitu mtasomeshwa na sio kila kitu utaelewa bali vyengine ni kujitoa mhanga akitoa hii na hii nimefaulu kwa mia akitoa maswali haya nimefeli.
Sasa jitahidi usome 3/4 ya topic zote
 
Kusoma ni jambo moja, kuelewa ni jambo la pili, ratiba yako ya usomaji na wasoma nini kwa mtindo gani ndo inakupelekea huko, pia walimu na namna wanavyo fundisha ndo sababu kubwa, soma kuelewa sio kujiandaa kujibu maswali
 
naamin wewe utakuwa mzuri kwenye kukariri maana biology bila hiyo tekinik utajuta... . sasa kama umeweza kuifanya vizuri hiyo biology pia tumia hiyo njia kusoma hayo mengine

NB...
Advanced msuli wale tembo matokeo sisimizi...

Hata T.O atakayetangazwa mwaka huu aliapitia hizo changamoto lakini alijikaza
Sio kweli kwamba wanafaulu biology wanakariri! Unawezaje kukariri mambo mengi kiasi kile? Ukweli ni kwamba wana uwezo mzuri upstairs!
 
Since nimeingia advance sijawahi kupata zaidi ya 50marks kwenye chem&phys zaid napataga kwa bios isitoshe mtihani wangu wa annul form five nimepata zero ffs respectively kwa pcb sasa nimekata tamaa kabisa nakuona hakuna ninachofanya zaidi ys kwenda kuzungusha form six 2018..hivyo rasmi nahitaji kuongea ba wazazi nitafute alternative ways ya kwenda collage nikachuke course nyingine

N.B sio kwamba sisomi nasoma tena sana ila sielewi kwanini inakuwa hivi
-pia o level nilifaulu vizuri tu kwa CCA in PCB
Pole sana mkuu
 
Pole sana Mkuu, Naona umetumia muda mwingi kabla ya kuja na hayo mawazo.

Sijui nikushaurije! Ungekuwa ndo unaanza ningekwambia ujaribu Comb ya CBG.

AU Fanya hivi, Omba Diploma za Afya (CO,PHARM,RADIOLOGY au LAB)

Ukipata ndo uanze kufikiria.
 
Usikate tamaa komaa PCB ndivyo ilivyo ! Ni ngumu lakini komaa ! Utatoboa, nilisoma PCB pia , kaa karibu na wanaofaulu vizuri jifunze nao. Kubali kuteseka utafanikiwa.
Its pain me a lot naona kama mzee anapoteza hela zake kwangu daah
 
naamin wewe utakuwa mzuri kwenye kukariri maana biology bila hiyo tekinik utajuta... . sasa kama umeweza kuifanya vizuri hiyo biology pia tumia hiyo njia kusoma hayo mengine

NB...
Advanced msuli wale tembo matokeo sisimizi...

Hata T.O atakayetangazwa mwaka huu aliapitia hizo changamoto lakini alijikaza
Yaah najua kukariri sana ila nashangaa chem imekuwa complicate sana kwangu physics ndo balaa marks kubwa nilipataga 38
 
Kusoma ni jambo moja, kuelewa ni jambo la pili, ratiba yako ya usomaji na wasoma nini kwa mtindo gani ndo inakupelekea huko, pia walimu na namna wanavyo fundisha ndo sababu kubwa, soma kuelewa sio kujiandaa kujibu maswali
Ni kweli ila vyote hivyo nafanya nasoma naelewa ukija mtihani chalii
 
Back
Top Bottom