Nataka niache advance PCB nahisi imenishinda

Nataka niache advance PCB nahisi imenishinda

kipindi hicho nasoma pcb tulikuwa tunairefusha people confused brain. Ila hii combi usipokaa vizuri unaweza kutaga.
Acha tu.kusoma nayo ni fani kama fani nyingine.form 4 arts nilipata C ya kiswahili tu.
 
Mkuu umekata tamaa, ukiweka niainawezekana! Inategemea na usomaji wako! Je unasoma kwa discussion au alone??

Mkuu kama una nia ya kuwa dr, unaweza komaa na ukafanikiwa, ila kama unaona huwezi unaweza step down ukarudia form5!!

PCB au kobi yoyote huwezi isoma alone mara zote maana ni rahisi kukata tamaa!! Jitahidi kutumia discussion hasa kwenye topics zinazokusumbua!!
kweli mkuu ngoja niingize mguu kwa mara nyingine
 
aisee pole sana
kama kweli malengo yako ni kuwa mtu wa afya
jaribu diploma ya PHARMACY, CO, OPTOMETRY, PHYSIOTHERAPY, LAB, hata NURSING sio mbaya kama PCB imekushinda usilazimishe mambo
 
You can do wonders is just a matter of decision believing in yourself having good company kumwomba mungu Sana kujitahidi kutokata tamaa every thing is possible chini ya jua watu wengi waliofanikiwa walipitia magumu even me but no kuvumilia Ku so ma kwa juhud Ku cooperate na maticha pia jenga urafk na wale brightest student shulen kwenu IGA me ma yao usichukue ma bay a hafu ukikomaa na Chem na bios sure utatoka Mfn Chem concentrate na review pia Ramsden in a we za kukusaidia bios tafuta material ya jamaa mmoja anaitwa Dr g.mbashi utatoka pia soma na understanding keep calm ukimwomba mungu ukikaza na buti sure utakuja Kuwa fundisho kwa wengine wasigive up phys usiipe muda mwingi Sana pmj mkuu
 
Pole sana Mkuu, Naona umetumia muda mwingi kabla ya kuja na hayo mawazo.

Sijui nikushaurije! Ungekuwa ndo unaanza ningekwambia ujaribu Comb ya CBG.

AU Fanya hivi, Omba Diploma za Afya (CO,PHARM,RADIOLOGY au LAB)

Ukipata ndo uanze kufikiria.
Huyu ni mbovu wa namba. Hisabati haipandi ndio maana kazungusha physics na chem. Hayo uliyomshauri yanaendana na namba. Ataendelea kugeli hata akisoma certificate.

Aangalie combination zingine zisizo na namba.
 
Yaah najua kukariri sana ila nashangaa chem imekuwa complicate sana kwangu physics ndo balaa markd kubwa nilipataga 38
Shida yako ni HISABATI aka NAMBA. Tafuta tuisheni ya hisabati utaiona physics very simple.
 
pole sana mkuu! hiyo comb sio ya kitoto!
ikishindikana kwa mzazi komaa tu
 
Kwa Advance...muda ni miaka 2...maana yake bila kukariri huwezi maliza slabus... ukitaka kuelewa kila kitu kwa huo muda hautoshi.... mi mwenyewe nimesoma PCB... naijua fika mambo yake mkuu
Muda unatosha kama IQ ipo poa na ufundishaji pamoja na mazingira ya kujifunzia vinalipa.

Tatizo namba moja mlilo nalo ni MSINGI MBOVU. Hamkuivishwa ipasavyo kuanzia nasare hadi form four hivyo lazima mchemshe A Level. Siwalaumu dio makosa yenu bali ni makosa ya wakati mliosoma.
 
Huyu ni mbovu wa namba. Hisabati haipandi ndio maana kazungusha physics na chem. Hayo uliyomshauri yanaendana na namba. Ataendelea kugeli hata akisoma certificate.

Aangalie combination zingine zisizo na namba.
CO, LAB na RADIOLOGY Hamna Hesabu kihivyo.

Labda Radiology kweny Ile X-ray

Note; Chuo sio sawa na Secondary.
 
ndio elimu ya Tanzania ilivyo,,

hamna CHOICES,

watoto wanasoma mambo maguuuuuuuuuuuumu,

usiwalaumu wazazi wako,they want the best for you,

mie nashauri kasoro udaktari,masomo mengine YOTE yanayofundishwa chuo kikuu yatolewe kwenye ngazi ya chini ya elimu yaani secondary,

hii itampa mtoto CHOICE ya kusoma kitu anachokipenda,na chuo kitaibua ma expertise waliotukuka.
 
Muda unatosha kama IQ ipo poa na ufundishaji pamoja na mazingira ya kujifunzia vinalipa.

Tatizo namba moja mlilo nalo ni MSINGI MBOVU. Hamkuivishwa ipasavyo kuanzia nasare hadi form four hivyo lazima mchemshe A Level. Siwalaumu dio makosa yenu bali ni makosa ya wakati mliosoma.
Naomba nikupinge mkuu wangu, kosa sio msingi!! na ukichek mleta mada kasema alipata CCA ya PCB!!

Kinacho sumbua watu wengi ni kukata tamaa na kuona kwamba hawawezi tena!! kwa kifupi sio kwamba hawawezi ila hawana morali au motisha!! hili ndio linalowasumbua wengi!!

Nadhani lazima ifike mahali tuamini kwamba sisi sio wakamilifu, na pia tujaribu ku-share na wenzetu hasa wale wenye positive thinking, otherwise unaweza haribu kila kitu!
 
ndio elimu ya Tanzania ilivyo,,

hamna CHOICES,

watoto wanasoma mambo maguuuuuuuuuuuumu,

usiwalaumu wazazi wako,they want the best for you,

mie nashauri kasoro udaktari,masomo mengine YOTE yanayofundishwa chuo kikuu yatolewe kwenye ngazi ya chini ya elimu yaani secondary,

hii itampa mtoto CHOICE ya kusoma kitu anachokipenda,na chuo kitaibua ma expertise waliotukuka.
Masomo magumu ndio yapi hayo??
 
mwaka mmoja umeisha nmekesha sana na mavitabu lakin cwez mudu kujib mtihan vizuri nmeamini o level ni rahisi kufaulu
Ndio pua uamini kuwa wenye PhD ni watu wa pekee kwa kuelewa na kuvumilia. Uliona wapi ngaxi ya juu ya elimu ikawa nyepesi kuliko ya chini yake.

Pia tambua unayoyasoma hapo A level ni muhtasari tu wa degree ya kwanza.
 
Nimesoma sayansi kuanzia shule ya msingi mpaka chuo kikuu!!

Siamini kama kuna somo gumu! Ugumu au urahisi wa somo/masomo is nothing "but state of mind" !!

ni wewe peke yako,mwenye mtazamo huo,jiulize kwa nini walimu wa Arts ni wengi kuliko wa science?
 
Since nimeingia advance sijawahi kupata zaidi ya 50marks kwenye chem&phys zaid napataga kwa bios isitoshe mtihani wangu wa annul form five nimepata zero ffs respectively kwa pcb sasa nimekata tamaa kabisa nakuona hakuna ninachofanya zaidi ys kwenda kuzungusha form six 2018..hivyo rasmi nahitaji kuongea ba wazazi nitafute alternative ways ya kwenda collage nikachuke course nyingine

N.B sio kwamba sisomi nasoma tena sana ila sielewi kwanini inakuwa hivi
-pia o level nilifaulu vizuri tu kwa CCA in PCB
Duuuh Pole sana Kaka mwaka Jana nilipangwa PGM nikajua ctoweza nikaenda college kuchukua diploma ushauri Wangu komaa tuuu huwezi jua
 
Since nimeingia advance sijawahi kupata zaidi ya 50marks kwenye chem&phys zaid napataga kwa bios isitoshe mtihani wangu wa annul form five nimepata zero ffs respectively kwa pcb sasa nimekata tamaa kabisa nakuona hakuna ninachofanya zaidi ys kwenda kuzungusha form six 2018..hivyo rasmi nahitaji kuongea ba wazazi nitafute alternative ways ya kwenda collage nikachuke course nyingine

N.B sio kwamba sisomi nasoma tena sana ila sielewi kwanini inakuwa hivi
-pia o level nilifaulu vizuri tu kwa CCA in PCB
Yaan C ya Physics na Chemistry ndio ilikupa kiburi cha kwenda PCB? Ulibugi
 
Back
Top Bottom