mmnh kwa hio watu wote wanaofeli ni 'state of mind' na sio kuwa ni kweli hawana uwezo huo?,,,,,
Yes, pia lazima ujue kufeli au kufaulu ni matokeo ya kilicho ndani yako (in your mind)!! Bahati mbaya ni kwamba hali yakufeli au kufaulu ina jengeka ndani/Mind ya mtu kwa muda mrefu mara nyingi bila kujua "unknowngly"!
Chukua huu mfano,
Nilipomaliza olevo, kwenye kuchagua kombi nilichagua kombi ambayo masomo yake sikuperform vizuri, nakumbuka nilipomwambia mwenzangu naenda kusoma kombi flani aliishia kunicheka! iliniuma lakini sikumwambia maana i knew what I wanted, na sikutaka marks ziniamulie future yangu!!
Nilianza form5 kwa nia/wazo moja tu, kupata division one!! sikua na
mawazo ya two au three!! hii hali ilinijengea hali ambayo ilinifanya nisome sana, infact sio kusoma tu ila pia nili-enjoy kusoma!! so muda mwingi nilikua mimi na kitabu/daftari/past papers na muda mwingine utanikuta nafundisha wenzangu, simply because i enjoyed it!! kamwe sikusoma ili nitimize wajibu!!
Kweli kama utani nikajikuta naongoza darasa hasa nilipoingia form6, na mwisho nikamaliza na divion one kama nilivyoapa nikiwa naanza form5!!!
So thats it, tokea naanza nilijijengea mentallity ya kufaulu hasa baada ya kuchekwa na wenzangu kwa kombi nilikua nataka kusoma!!
na nini utupe sababu za watu kujijengea hivyo?
Si rahisi kama unavyodhani, hii inatakiwa iwe naturally, iwe from within! hii ni step ya kwanza!! Na ni rahisi sana kwa mwanafunzi anayejua anataka nini!! otherwise ni kuwapa motisha na kuwajenga kisaikolojia wanafunzi,hasa wale wanao/ waliokata tamaa!!
Kuwa mwanafunzi kua changamoto na ndio maana walimu wakawepo!! kampani ya mwanafunzi itachangia sana ku-determine his/her future! Marks tu hazitoshi kujua mwanafunzi huyu atafaulu au la, lazima mwanafunzi ajitambue na lazima ajue anahitaji maishani mwake!!