Nataka niache advance PCB nahisi imenishinda

Sio kweli kwamba wanafaulu biology wanakalili! Unawezaje kukalili mambo mengi kiasi kile? Ukweli ni kwamba wana uwezo mzuri upstairs!
Kwa Advance...muda ni miaka 2...maana yake bila kukariri huwezi maliza slabus... ukitaka kuelewa kila kitu kwa huo muda hautoshi.... mi mwenyewe nimesoma PCB... naijua fika mambo yake mkuu
 
Pole sana Mkuu, Naona umetumia muda mwingi kabla ya kuja na hayo mawazo.

Sijui nikushaurije! Ungekuwa ndo unaanza ningekwambia ujaribu Comb ya CBG.

AU Fanya hivi, Omba Diploma za Afya (CO,PHARM,RADIOLOGY au LAB)

Ukipata ndo uanze kufikiria.
Ushauri mzuri mkuu ila hadi sasa shule imefunguliwa naona uvivu kwenda nimekataa tamaa kabisa
 
Since nimeingia advance sijawahi kupata zaidi ya 50marks kwenye chem&phys zaid napataga kwa bios isitoshe mtihani wangu wa annul form five nimepata zero ffs respectively kwa pcb sasa nimekata tamaa kabisa nakuona hakuna ninachofanya zaidi ys kwenda kuzungusha form six 2018..hivyo rasmi nahitaji kuongea ba wazazi nitafute alternative ways ya kwenda collage nikachuke course nyingine

N.B sio kwamba sisomi nasoma tena sana ila sielewi kwanini inakuwa hivi
-pia o level nilifaulu vizuri tu kwa CCA in PCB
Komaa dogo usikate tamaa mapema mi mwenyewe nilikuwa kama wewe marks kubwa form five ilikuwa haizidi 30 ila mwisho wa siku nilitoka na two nzuri tu NECTA
PCM
 
Ushauri mzuri mkuu ila hadi sasa shule imefunguliwa naona uvivu kwenda nimekataa tamaa kabisa
Duuuh! Balaa! Omba Chuo na sasa Maombi yamefunguliwa.

Kama ulikuwa na Ndoto ya Kozi za Afya, Omba Diploma.

NB; Shule zimefunguliwa unatakiwa kulipa Ada? Unasoma shule Binafsi au Serikali?
 
muoga wa jf, what's your Plan B endapo utagonga mwamba kwa wazazi suala la ku-drop na kusoma alternative course?!

Kwangu mimi naona huo ndio uamuzi wa busara zaidi lakini ukigonga mwamba; vuta nguvu upya na sahau suala la kukata tamaa! When that happens; tenga muda mfupi sana kwa Physics manake itakupotezea muda wakati productivity ya huo muda inaweza kuwa very minimal. Kinyume chake, wekeza muda kwenye Chemistry na Biology. Trust me, Chemistry ni rahisi sana kufaulu kwa sababu watungaji wa mitihani hawana ubavu wa kwenda mbali sana na vitabu!

Hapo juu umezungumzia uwezo wako wa kukariri! Biology unaweza kukariri lakini Chemistry hata kama kukariri kunalipa (am not sure manake mimi kichwa changu ni kibovu kweli kweli linapokuja suala la kukariri) muhimu kwa Chemistry ni kuzielewa concepts mbalimbali. Chagua topics chache za kuanza nazo ambazo ni rahisi pia kuzielewa. Hizi ziwe zile ambazo zina-cover sehemu kubwa ya mitihani! Wekeza muda wako huko and trust me, hadi May 2018 unaweza kukuta unatoka na angalau FDD.

Ikiwa FDD itakukosesha kusoma Bachelor bado unaweza kwenda kusoma Diploma huku ukiwa na good Form VI results itakayokutofautisha na wenzako waliotoka FIV au waliofeli FVI. Hii good FVI results ndio mtaji wako wa baadae utakapo-apply bachelor with equivalent qualification.

NOTE: Don't give up kabla hujapata formal alternative!!

I repeat, ipunje muda Physics manake Physics haitambui kabisa jitihada za mtu especially kama mtu mwenyewe ni wa PCB!!

In addition, sijui una muda gani hapa JF! Kama hujaizoea sana JF basi at least for now till June 2018 na yenyewe ikalie mbali kama Physics!! JF ni Gogo Zembe! JF ni very addictive!! Though you can learn a lot through JF but for now you don't have luxury time for it!!

Don't say hukuambiwa utakapojikuta unalazimika ku-balance muda wako kwa masomo matatu-- Chemistry, Biology & JF huku JF likiwa ndiyo favorite subject linalohitaji more attention!!!
 
Duuuh! Balaa! Omba Chuo,na sasa Maombi yamefunguliwa.

Kama ulikuwa na Ndoto ya Kozi za Afya,Omba Diploma.

NB; Shule zimefunguliwa unatakiwa kulipa Ada? Unasoma shule Binafsi au Serikali?
Binafsi
 
Daah u speak with heart umentouch aisee...kama nauona mwanzo mkuu ila naogopa sana aisee
 
Ila Daah! Sidhani kama Suala la kuwaambia Wazazi huu mpango wako kama utakubaliwa, Maana wazazi wetu hii kwao haijakaa sawa.

Ila jaribu kuwaelewesha, na waambie ujaribu kuomba DIPLOMA ya Afya, ili uwe unatega potepote. IkiTIK Diploma kasome zako mkuu.
 
Mara nyingine huwa nashangaa sana mtu akisema ukipata Two (II) ya PCB bado hujafanya vizuri..
 
Back
Top Bottom