Mkuu pepa ya mwaka Jana phyz uliiona au unaongea tu?Mkuu mi naomba nikushauri usome chemistry ni rahisi sana kufauli,na biology kila siku,atleast utaweza pata D's..Chemistry soma topic kama organic one,physical yote,electrochemistry soma vizuri kabisa..tafuta kitabu cha review cha mzumbe pitia maswali..
Biology soma biological science tu usiongeze kitu kingine na pitia past paper uone maswali yanavotoka,coordination cell biology,nutrition na trasport soma vizuri utafaulu paper 1
physics soma kidogo kidogo huku ukikomaa na practicals ili atleast upate walau S au E..current,a.c na mechanics hapa umeshapata marks paper 1.. wave,static electricity,electromagnetism kidogo na pia radioactivity,paper 2 pia unachukua marks
paper za advance za sasa hivi zinatoka kidogo simple sio kama za zamani jamani,naongea from experience,format ya mitihani iko poa sioni sababu ya kusoma vizuri pcb af ukakosa hata Three ya mwanzo..
Mwanaume huwa hakati tamaa. Utakata tamaa kwenye masomo ukija mtaani baada ya kumaliza pia utakata tamaa pindi maisha yakienda ndivyo si yo?Ni kweli ila vyote hivyo nafanya nasoma naelewa ukija mtihani chalii
Acha kudanganya...kusoma ndo mwanzo wa kuelewa. .soma sana faulu sana Mimi ndo kilichonikoa hikiKusoma kuelewa kukesha ni mbwembwe tu!.
Twende taratibu: Hebu funguka ni nini hasa kinakupa uoga?!Daah u speak with heart umentouch aisee...kama nauona mwanzo mkuu ila naogopa sana aisee
Ushauri mzuri sana mkuu.....pata soda baridi nije kulipia,Hapo ndio utawaelewa ambao hutokea Form 4 na kujiunga direct chuoni for Diploma...PCB si comb ya kitoto so kama uliingia kwa kuunga unga ni hatari...usipoteze muda hapo...kama unapenda kusoma health related issues basi hujachelewa.....jiunge mwaka huu wa masomo utimize ndoto zako otherwise utaja juta tu mwishoni mwa Form 6.Wapo wengi wanaougulia kimyakimya...nakupongeza wewe kwa kuliona hilo na kuomba ushauri...Haya ni maoni yangu binafsi,yanaweza kukusaidia au either way...Pole sana dogo
Nakumbuka miaka hiyo nikiwa naingia form6. Daaah sio kwamba nilikua mbovu walaaaa!! Kwa kifupi kwenye top three nlikuepo...sijui kauwoga ka kubadilisha kombi kalitoka wapi jamn!! Daah!!Since nimeingia advance sijawahi kupata zaidi ya 50marks kwenye chem&phys zaid napataga kwa bios isitoshe mtihani wangu wa annul form five nimepata zero ffs respectively kwa pcb sasa nimekata tamaa kabisa nakuona hakuna ninachofanya zaidi ys kwenda kuzungusha form six 2018..hivyo rasmi nahitaji kuongea ba wazazi nitafute alternative ways ya kwenda collage nikachuke course nyingine
N.B sio kwamba sisomi nasoma tena sana ila sielewi kwanini inakuwa hivi
-pia o level nilifaulu vizuri tu kwa CCA in PCB
Niliiona na ndo nimeifanya..ugumu ulikuwa wapi sasa?..hivi ushaiona paper ya 2013 kweli mkuu,tusiongee tu kinazi..paper ya mwaka jana ilikuwa kama unasoma physics na unaelewa unachokisoma lazima ufaulu,same applies kwa pepa ya 2014,2015mkuu pepa ya mwaka Jana phyz uliiona au unaongea tu?
Asante mkuuNi pale unapo kaza msuli halafu ajira huji kuipata dah...
komaa tu kibishi.. Na Mungu akutangulie upate ACB
Sio mwanafunzi unatoa ushauri wa kipumbavu mzazi gani usie na staha si bora nami niingie kitaa niwe na mtoto....assume mimi ni mwanaoNa wewe ni mwanafunzi?
[HASHTAG]#facts[/HASHTAG]Mziki wa Advance ni mziki mwingine mkuu acha kabisaaaa
Chemistry ziko topics 4 tu lakini zinakutoa jasho![]()
Ukigusa physics ndo hatareee
Ukija Bios bado vyura,panya na mende wanakudai dissection![]()
![]()
Ukizunguka kidogo mara hibiscus flowers.
Ukigeuka pembeni kuna biological sciences(BS), kuna Chandi zinakusubiri, mara kuna Mzumbe Review Chemistry![]()
Jamaa yako anatoka Dar anakuja na kitini cha Mbuga Organic Chemistry.
Lazima udateeee.
Nakushauri usipoteze time huko ukishaona mauza uza sepa ingia vyuo vya afya piga kitabu pata cha kufanya then jiendeleze kufikia malengo yako.
Ushauri wangu ni bure kabisa ila ukipuuza iko siku utakumbuka muda uliopoteza ikiwa umeshaona mambo ni tight
Kinachonipa uoga nasoma sana na nina elewa na maswali nasolve mpaka nafurahia but since nikifika point ya mtihani duuuh...naishiwa nguvu hapa may nimepifa mock form five nimetoka na div 4 ya mwisho sasa naogopa kupotea form sixTwende taratibu: Hebu funguka ni nini hasa kinakupa uoga?!
Huko dip za afya sio powa gpa 3, soma kozi za biashara ukimaliza jiajiriPole sana Mkuu, Naona umetumia muda mwingi kabla ya kuja na hayo mawazo.
Sijui nikushaurije! Ungekuwa ndo unaanza ningekwambia ujaribu Comb ya CBG.
AU Fanya hivi, Omba Diploma za Afya (CO,PHARM,RADIOLOGY au LAB)
Ukipata ndo uanze kufikiria.
Akaze msuli atakazwa yeye sasaHamna kitu kirahis. PCB inaonekana ngumu sababu ndio kombi yenye masomo mengi zaidi. Kaza msuli hata HKL wapo wanaofeli. Best wishes
Retired mpe viwango vya ufaulu form six.Since nimeingia advance sijawahi kupata zaidi ya 50marks kwenye chem&phys zaid napataga kwa bios isitoshe mtihani wangu wa annul form five nimepata zero ffs respectively kwa pcb sasa nimekata tamaa kabisa nakuona hakuna ninachofanya zaidi ys kwenda kuzungusha form six 2018..hivyo rasmi nahitaji kuongea ba wazazi nitafute alternative ways ya kwenda collage nikachuke course nyingine
N.B sio kwamba sisomi nasoma tena sana ila sielewi kwanini inakuwa hivi
-pia o level nilifaulu vizuri tu kwa CCA in PCB