Nataka niache advance PCB nahisi imenishinda

Nataka niache advance PCB nahisi imenishinda

Haujui kipi unaongea go direct to point...unaelewa kwa muda gani nimetumia kusoma unajua shule ninayosoma unaelewa muda gani natumia simu je nikuambia leo ndo siku nimeamua kutumia simu ili niweze pata ushauri wenu.....unakuja kuandika upumbavu
Kwa povu hili
Na aina yako ya uandishi wa kimipasho sanaa ilikuwa mahali pako
Sasa PCB ulivamia tu

Bora uviache uwaaachie wenye navyo.

PCB unapata muda wa kuandaa matusi?
 
Kinachonipa uoga nasoma sana na nina elewa na maswali nasolve mpaka nafurahia but since nikifika point ya mtihani duuuh...naishiwa nguvu hapa may nimepifa mock form five nimetoka na div 4 ya mwisho sasa naogopa kupotea form six
Kijana kuna watu walilamba zero mock...na sasa ivi ni mainjinia!!

Wewe sio kwamba huwezi pcb, umekata tamaa na huna confidence na bahati mbaya waliokuzunguka hawana msaada kwako!!
 
Achia ngazi mapema. Utakuja Ku draw bure. PCB haijawahi kuwaacha watu wengi salama ila too hiyo ndiyo combination rahisi sana kwa science
 
Yani bado uko hapa unajibishana na wazazi wako. Wenzio hivi sasa wanabukua. Nyie ndo mnachora picha za mazombie kwenye karatasi za mitihani.
Hata hivi ingetokea physics kwa akili hii ingemkubali, mbeleni tungekuwa na mtaalam wa kiwango cha makenikia

Mtoto wa aina hii sijui .........
 
Mwanaume huwa hakati tamaa. Utakata tamaa kwenye masomo ukija mtaani baada ya kumaliza pia utakata tamaa pindi maisha yakienda ndivyo si yo?

Nilpokua advance, mzumbe sec nikichukua comb ya PCM nakumbuka mim na washkaj zangu hatukuwah kupata A toka tunaanza form 5.na hata jamaa aliyekuja kuwa T. O tulikua tunapata nae sawa tu 50,60, nk.
Tulikuja kupata A mtihani wetu wa mock, na hapo ndpo tulipopata nguvu na shule yetu.
Ninae mshkaji wangu alikua PCB ashawahi kupata 25 Phsics lakini sasa hv yupo CUBA anamalizia degree yake ya Udaktari. Kiufupi kupata marks chache kwa advance ni kawaida sana. Cha msingi kaza, hakikisha unasoma kwa kuelewa, fanya maswali mengi, mfate unayeona anakuzid kwenye masomo mwambie akufundishe usione aibu.
kweliii kabisaa mkuu. ...Me piaa nlisoma PCM sikuwahii pata hata 50 pepar za ndanii na Mock nlizingua vibaya GPA 2.3 ila a sikukata tamaa kabisaa. ...niliongeza misuliii kabisaa misulii kwelii masaa 10 uko mezani unachqkaza chands na pure mwisho wa sikuu nilipiga one kama kawdaa. ....Advnce ndo iko ivoo lazmaaa uwe na roho ngumuu unachezea chachee unaongezaa misulii
If possible uende college kwa cheti cha form four tena mwaka huu! Binafsi sipendi kulazimisha mambo
 
Mwenyewe nimemchoka. Mzazi wake ana kazi sana...
Wazazi tunakazi
Mtoto kama huyu usikute mzee kajipindaweeeeeee kulipa ada na vitu vingi hafu unakutana na point kama hizi mtandaoni.

Hivi alipoambiwa ukakaze msuli alifikiri ni masihara au
 
Since nimeingia advance sijawahi kupata zaidi ya 50marks kwenye chem&phys zaid napataga kwa bios isitoshe mtihani wangu wa annul form five nimepata zero ffs respectively kwa pcb sasa nimekata tamaa kabisa nakuona hakuna ninachofanya zaidi ys kwenda kuzungusha form six 2018..hivyo rasmi nahitaji kuongea ba wazazi nitafute alternative ways ya kwenda collage nikachuke course nyingine

N.B sio kwamba sisomi nasoma tena sana ila sielewi kwanini inakuwa hivi
-pia o level nilifaulu vizuri tu kwa CCA in PCB
CCA siyo vizuri
 
Wenzako walipata SIFURI kabisa!! Ila sasa ivi ni mainjinia!!

Acha kulalamika mkuu...uwezo unao, pambana!!!
mwaka mmoja umeisha nmekesha sana na mavitabu lakin cwez mudu kujib mtihan vizuri nmeamini o level ni rahisi kufaulu
 
mwaka mmoja umeisha nmekesha sana na mavitabu lakin cwez mudu kujib mtihan vizuri nmeamini o level ni rahisi kufaulu
Mkuu umekata tamaa, ukiweka niainawezekana! Inategemea na usomaji wako! Je unasoma kwa discussion au alone??

Mkuu kama una nia ya kuwa dr, unaweza komaa na ukafanikiwa, ila kama unaona huwezi unaweza step down ukarudia form5!!

PCB au kobi yoyote huwezi isoma alone mara zote maana ni rahisi kukata tamaa!! Jitahidi kutumia discussion hasa kwenye topics zinazokusumbua!!
 
Back
Top Bottom